fedha

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

    Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
  2. U

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wizara ya Fedha watahadharishwa upotoshaji wa elimu ya lishe

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe kupitia mitandao ya kijamii, ikiwemo taarifa zinazopinga matumizi ya vyakula vya wanga kwa watoto...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Kwimba - Mwanza (Kada ya Afya) hatujalipwa fedha za kujikimu

    Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa Januari 2026. Majibu tunayopewa huku kwenye group hayaeleweki wanatuambia serikali ndiyo inatoa pesa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakulima wa Tumbaku - Mbogwe tunapata shida kutozwa Fedha Kupitishiwa/kusainiwa Malipo ya Wakulima na Ofisi ya Meneja MBCU LTD

    1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil kulingana na shedo ya malipo na fedha hii si ya vuongozi bali na yawakulima. 2. Tunahofia msimu huu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Wizara ya Afya imefikia 72% ya Makusanyo, Fedha za Nje zaendelea kuimarisha Huduma Za Afya

    Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Fedha za kujikimu, Walimu Halmashauri ya Chato tumepewa laki 1 badala ya Laki 9, bora wasingetupa

    Habari za muda naomba utusaidie kupasa sauti kwa kweli Halmashauri yetu ya Chato hawajatutendea haki sisi walimu wa sekondari tulioajiriwa Mwaka 2025. Walitupa fedha za kujikimu shilingi laki moja tu, walitulipa 27 Aprili 2026, kwanini sisi tumepewa fedha kidogo angali wenzetu wa Shule ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Walimu 150 wa Amali Waliohudhuria Mafunzo India Warejea, Prof. Shemdoe awapongeza kwa kuonesha nidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu wapatao 150 wa amali waliokwenda kwenye ziara ya mafunzo ya mwezi mmoja nchini India, ambayo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wagonjwa wa ICU watibiwe kwanza, fedha itafuata baadaye

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”. Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza

    Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais aelekeza fedha za Muungano zikarabati miundombinu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Ameyasema hayo, Jumatatu, Aprili 20...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam. Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chanjo hatupewi lakini tunatozwa malipo mpakani Mtukula na Kasumulu, fedha zinakwenda wapi?

    Kero yangu kubwa bhana inaenda Wizara ya Afya hasa upande wa boarder ya Mtukula na boarder ya KASUMULU ambapo wafanya kazi wa wizara hiyo hapo boarder wamekuwa na tabia ya kutulipisha hela ya vaccination Shilingi 10,000. Lakini cha ajabu hawapigi hizo dawa kwenye magari, baada ya kutoka nchi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya itusaidie tulipwe fedha tunaofadhiliwa sekta ya Afya katika Vyuo Vikuu nje

    Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi. Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela za kujikimu. Tunaishi maisha magumu nje ya nchi kwa kucheleweshewa hela za matumizi. Tunaomba...
  17. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Saasisha Mafue: Akiba ya Dhahabu iuzwe, fedha iwe ruzuku kwenye mafuta

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameiomba serikali kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu ili kupata fedha za kutoa ruzuku kwenye mafuta na hivyo kupunguza gharama kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Heshima uliyojijengea kwa miaka zaidi ya 50, usiiharibu kwa vipande 30 vya fedha

    Una heshima kubwa as one of the respected Chief Justice. Sasa kwa nini unataka kuharibu CV yako kwa upuuzi wa mtu mwenye uchu wa madaraka.. Jiangalie umebakiza miaka mingapi duniani? Achana na upuuzi huo , mtafute MUNGU sasa na si kuwafurahisha wenye uchu wa kuinyakua Tanganyika!
  20. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Fedha: Kwanini uwekeze kwenye hisa DSE

    Wadau wa fedha na uwekezaji, Kuna kitu muhimu sana ambacho mara nyingi tunakisoma kwenye vitabu vya Rich Dad Poor Dad na vingine vya personal development, lakini wengi wetu hatuchukui hatua — financial intelligence. Reading is powerful, yes. Lakini knowledge bila application ni sawa na theory...
Back
Top Bottom