fanya

Agafangel (Russian: Агафа́нгел) is an old and rare Russian Christian male first name. The name is derived from the Greek name Agathangelos, which in turn derives from the words agathos—meaning kind, good—and angelos—meaning bearer of news, messenger.The diminutives of "Agafangel" are Aga (А́га), Fanya (Фа́ня), and Agafangelka (Агафа́нгелка).The patronymics derived from "Agafangel" are "Агафа́нгелович" (Agafangelovich; masculine) and "Агафа́нгеловна" (Agafangelovna; feminine).

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo. Naomba mawazo yenu wakuu. Asante
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
  3. JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

    Kondakta wa daladala Dar es Salaam huamka saa kumi alfajiri na kukutana na dereva wake sehemu wanapolaza gari lao. Mpaka wakitoka hapo kuingia barabarani kuanza kazi huwa saa kumi na moja imeshafika. Wanaanza kupiga mzigo, kufanya kazi mwanzo mwisho, kama unavyofahamu, majukumu ya konda wa...
  4. JamiiForums Tanzania Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

    Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM." Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
  6. D

    JamiiForums Tanzania IGP Kamilius Wambura fanya maamuzi magumu, jiuzulu

    Ninajua si utamaduni wetu mtu kujihisi hatia na kuamua kujiuzulu. Dhana ya kujiuzulu kwa Tanzania bado inaonekana kama udhaifu. Kwamba hata kama unanuka basi unakomaa tu. Unafia kitini. Lakini kwa IGP Wambura ni muda muafaka kabisa wa kujiuzulu wadhifa huo ili ubaki kuwa mtu safi. Inakuwaje...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesomea bachelor of library information studies anaweza fanya kazi gani mbali na ukutubi

    Kaka yangu ananilazimisha nikasome hiyo kozi lakini mimi nahisi siielewi.
  8. JamiiForums Tanzania Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

    Watu wengi ni wazee lakini vibogoyo, wamepinda, hawaoni, hawanusi, wanatembea na chupa za mikojo na vidonge vya rangi mbalimbali. Huu uzee unagharama sana. Kuna mambo ukianza kufanya leo yanaweza kukusaidia ukazeeka huku huku ukiwa unanguvu na kila kitu kiko vizuri. 1: Asilimia kubwa ya vyakula...
  9. JamiiForums Tanzania Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha punyeto hatimaye nimepona

    Baada ya kufanya masturbation kwa miaka zaidi ya sita mfulilizo, ikanifanya nipoteze uwezo wangu wa kiume. Mwaka juzi ni kafunga ndoa, lakini bahati mbaya Kila napo shiriki tendo dakika mbili Chali. Aiseee hali hiyo ilinitesa sana japo pia nilikuwa naendelea na masturbation mana I was too...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu mbalimbali zinazopelekea mama kushauriwa kumnyonyesha mtoto kwa miaka miwili

    Habari, Naomba kujua sababu za kushauriwa(kitaalamu) kumnyonyesha mtoto hadi umri wa miaka 2. Asanteni. ===== Sababu nyingi za ushauri huu ni za kitaalamu zilizofanyiwa tafiti kwa kulinganisha watoto walionyonya kwa muda mrefu na walionyonya muda mfupi au kutonyonya kabisa. 1. Uwepo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Fanya haya kutatua changamoto ya spika simu inayokoroma

    Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja. Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana fanya uwezavyo jitahidi uwe na uwezo wa kuongea Kiingereza

    Leo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo. CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  18. JamiiForums Tanzania Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
  19. JamiiForums Tanzania Dereva makini, fanya yafuatayo

    Dereva makini unatakiwa kabla ya kuliondosha au kuwasha gari lako ufanye mambo haya:- Ufanye ukaguzi wa nje ya gari Matairi kama yote ni mazima, hakuna sehemu iliyotuna Taa zote kama zinawaka(taa kubwa, indicator, reverse, hazard, break) Ukaguzi wa boneti Maji ya radiator Maji ya wiper Oil...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea umauti kwa kila ninayefanya nae mapenzi?

    Hallo wataalamu, Tafadhari rejea kichwa! "Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !" Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa. Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi.. Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…