Sababu mbalimbali zinazopelekea mama kushauriwa kumnyonyesha mtoto kwa miaka miwili

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,017
Habari,

Naomba kujua sababu za kushauriwa(kitaalamu) kumnyonyesha mtoto hadi umri wa miaka 2.

Asanteni.

=====

Sababu nyingi za ushauri huu ni za kitaalamu zilizofanyiwa tafiti kwa kulinganisha watoto walionyonya kwa muda mrefu na walionyonya muda mfupi au kutonyonya kabisa.

1. Uwepo wa magonjwa mengi ya utotoni na ukubawani unapunguzwa na kunyonyeshwa kwa mtoto. Magonjwa haya ni kama Kisukari, Magonjwa ya moyo na Magonjwa mengi ya mfumo wa fahamu.

2. Tafiti zinaonesha uhusiano mkubwa kati ya urefu wa kipindi cha kunyonyeshwa mtoto na uwezo wa utambuzi wa mambo(smartness). Hii inatokana na uwepo wa "smart fats" kwenye maziwa ya mama(omega-3 fatty acids au DHA) na kama inavyojulikana kuwa miaka miwili ya mwanzo ndipo ubongo wa binadamu hukua zaidi kuliko wakati wowote ule wa maisha yake na kufikia mara 3 ya ukubwa wake tangu kuzaliwa hivyo maziwa ya mama ni muhimu.

3. Watoto walionyonyeshwa kwa vipindi virefu huwa na afya njema sana na huepukana na hatari ya utapiamlo. Pia huwa na uono(vision) na usikivu mzuri. Pia hali ya mfumo wao wa chakula huwa bora tokana na wepesi wa mmeng'enyo wa maziwa hivyo kuzuia spit-up, reflux na constipation. Pia mfumo wa kinga wa mtoto anayenyonyeshwa kwa muda wa takribani miaka 2 huwa bora zaidi kwani maziwa ya mama huwa na immunoglobin ambayo hufunika kuta za utumbo na kuzuia vijidudu kujipenyeza.
Ngozi zao pia huwa ang'avu.

WHO pia inashauri hivyo

Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri rasmi wamama kunyonyesha hadi mtoto kufikia umri wa miaka 2.

Faida kwa mama

Kunyonyesha kwa muda wa miaka takribani miwili huzuia hatari ya Kansa za Kizazi, Ovari na Matiti. Pia wanawake wanaonyonyesha watoto wao huwa na hatari ndogo sana ya kupatwa na Osteoporosis baadaye maishani. Osteoporosis ni hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kirahisi.

Husaidia sana kumjenga mtoto kitabia

Watoto wanaonyonya huwa rahisi kudhibiti kitabia na humsaidia mama kuweza kusoma tabia za mwanae kirahisi. Kunyonyesha husaidia mama kurelax na kujiepusha na vurugu za mtoto

Kwa kawaida kabisa mtoto anatakiwa anyonye hadi miaka mitatu, sema kutokana na mambo ya kimataifa ya kutaka wanawake wapate muda wa kufanya kazi ikarasimishwa miwili. Bado haitoshi wakaruhusu hadi mmoja na nusu au mmoja lkn kwa wanaojiweza kumpa vile vyakula mbadala.

FAIDA YA MTOTO KUNYONYA MUDA MREFU:
1.Kunajenga afya na kinga ya mwili kuanzia utoto hadi ukubwani
2.Kunajenga akili (sio lazima ya darasani), ila anakuwa sharp kukabiliana na changamoto za mazngira yanayomzunguka.

Mimi ni miongoni mwa walioacha ziwa mapema mno kutokana kuugua na nadhani kulingana maisha ya kijijini sikupata zile mbadala. Impact nmeiona nikijilinganisha na ndugu zangu. Nimekua na rate kubwa ya kwenda hospitali kuliko yeyote pale home.

Kuna wenzangu walikua wanasahau hata mazingira ya hospitali yapoje hadi nilibatizwa jina la spare mkononi na wazazi walikua wananiangalia kwa macho yote. Ukitokea ugonjwa mtaani mimi nitaumwa ndugu zangu wanadunda tu. Sasa hivi najijua kwahiyo niko makini na kukaa na mazingira hatarishi, mbu ,inzi, kunawa mikono na sabuni nk

Well ,mtoto lazima anyonye takiraban miaka miwili if possible zaidi yahapo for a number of reasons lkn kubwa nihizi---

Umri wa 0-5 Ndio umri ambao mtoto anajitengenezea Kinga yake vzuri , sasa maziwa ya mama Ndio chakula pekee ambacho mtoto atapata lishe lkn pia maziwa yamama humsaidia mtoto kujitengenezea Kinga yake mwenyewe ...( ndo maana katoto kasiponyonya vzuri huwa haishi kupulizwa pulizwa na magonjwa ).

Napili Ubongo...... Ubongo mwanadam huacha kukua afikiapo miaka Mitano ,hapa nazungumzia kukomaa kabisa kabisa kwa ubongo ... Sasa ktk huu umri Ni muhimu sana mama kumnyonyesha mtoto maana maziwa ya mama ,Ndio yenye utajiri mwingi wa virutubisho pekee kwa ajili ya ubongo ..kwaivo mtoto anayenyonya vzuri nakwamuda mrefu huwa anafaida kubwa sana ktk ukomavu wa ubongo...Ndio maana wapo wazazi wengine huendelea kuwanyosha watoto wao zaidi ya miaka 2 ...nawatoto huwa wanakua naakili sana maana ubongo ulikomaa vzuri.

Sasa mwanamama unamnyonyesha mtoto mwaka ,,then unaanza kumpa maziwa ..kwann asianze kulia moooooo mooooooo mooooooo pale awaonapo ng'ombe ?? ...

Mama as long as huna haraka ya maisha ,unampenda mtoto , Mnyonyoshe tuuu hata zaidi ya iyo miaka miwili unless unasababu muhimu ya kumwachisha !!.
 
Mwanangu nilimnyinyesha kwa mwaka mmoja nilikuwa na maternity leave ya miezi sita ma miezi sita nilianza whining process. Nikiposnza kazi akinyinya for bounding reasons really
Siyo IQ... Ndio tunaambiaa hivo
 
Kwa kawaida kabisa mtoto anatakiwa anyonye hadi miaka mitatu, sema kutokana na mambo ya kimataifa ya kutaka wanawake wapate muda wa kufanya kazi ikarasimishwa miwili. Bado haitoshi wakaruhusu hadi mmoja na nusu au mmoja lkn kwa wanaojiweza kumpa vile vyakula mbadala.

FAIDA YA MTOTO KUNYONYA MUDA MREFU:
1.Kunajenga afya na kinga ya mwili kuanzia utoto hadi ukubwani
2.Kunajenga akili (sio lazima ya darasani), ila anakuwa sharp kukabiliana na changamoto za mazngira yanayomzunguka.

Mimi ni miongoni mwa walioacha ziwa mapema mno kutokana kuugua na nadhani kulingana maisha ya kijijini sikupata zile mbadala. Impact nmeiona nikijilinganisha na ndugu zangu. Nimekua na rate kubwa ya kwenda hospitali kuliko yeyote pale home.

Kuna wenzangu walikua wanasahau hata mazingira ya hospitali yapoje hadi nilibatizwa jina la spare mkononi na wazazi walikua wananiangalia kwa macho yote. Ukitokea ugonjwa mtaani mimi nitaumwa ndugu zangu wanadunda tu. Sasa hivi najijua kwahiyo niko makini na kukaa na mazingira hatarishi, mbu ,inzi, kunawa mikono na sabuni nk
 
Rejea tittle
Naombeni majibu doctors
Well ,mtoto lazima anyonye takiraban miaka miwili if possible zaidi yahapo for a number of reasons lkn kubwa nihizi---

Umri wa 0-5 Ndio umri ambao mtoto anajitengenezea Kinga yake vzuri , sasa maziwa ya mama Ndio chakula pekee ambacho mtoto atapata lishe lkn pia maziwa yamama humsaidia mtoto kujitengenezea Kinga yake mwenyewe ...( ndo maana katoto kasiponyonya vzuri huwa haishi kupulizwa pulizwa na magonjwa ).

Napili Ubongo...... Ubongo mwanadam huacha kukua afikiapo miaka Mitano ,hapa nazungumzia kukomaa kabisa kabisa kwa ubongo ... Sasa ktk huu umri Ni muhimu sana mama kumnyonyesha mtoto maana maziwa ya mama ,Ndio yenye utajiri mwingi wa virutubisho pekee kwa ajili ya ubongo ..kwaivo mtoto anayenyonya vzuri nakwamuda mrefu huwa anafaida kubwa sana ktk ukomavu wa ubongo...Ndio maana wapo wazazi wengine huendelea kuwanyosha watoto wao zaidi ya miaka 2 ...nawatoto huwa wanakua naakili sana maana ubongo ulikomaa vzuri.

Sasa mwanamama unamnyonyesha mtoto mwaka ,,then unaanza kumpa maziwa ..kwann asianze kulia moooooo mooooooo mooooooo pale awaonapo ng'ombe ?? ...

Mama as long as huna haraka ya maisha ,unampenda mtoto , Mnyonyoshe tuuu hata zaidi ya iyo miaka miwili unless unasababu muhimu ya kumwachisha !!.
 
Well ,mtoto lazima anyonye takiraban miaka miwili if possible zaidi yahapo for a number of reasons lkn kubwa nihizi---

Umri wa 0-5 Ndio umri ambao mtoto anajitengenezea Kinga yake vzuri , sasa maziwa ya mama Ndio chakula pekee ambacho mtoto atapata lishe lkn pia maziwa yamama humsaidia mtoto kujitengenezea Kinga yake mwenyewe ...( ndo maana katoto kasiponyonya vzuri huwa haishi kupulizwa pulizwa na magonjwa ).

Napili Ubongo...... Ubongo mwanadam huacha kukua afikiapo miaka Mitano ,hapa nazungumzia kukomaa kabisa kabisa kwa ubongo ... Sasa ktk huu umri Ni muhimu sana mama kumnyonyesha mtoto maana maziwa ya mama ,Ndio yenye utajiri mwingi wa virutubisho pekee kwa ajili ya ubongo ..kwaivo mtoto anayenyonya vzuri nakwamuda mrefu huwa anafaida kubwa sana ktk ukomavu wa ubongo...Ndio maana wapo wazazi wengine huendelea kuwanyosha watoto wao zaidi ya miaka 2 ...nawatoto huwa wanakua naakili sana maana ubongo ulikomaa vzuri.

Sasa mwanamama unamnyonyesha mtoto mwaka ,,then unaanza kumpa maziwa ..kwann asianze kulia moooooo mooooooo mooooooo pale awaonapo ng'ombe ?? ...

Mama as long as huna haraka ya maisha ,unampenda mtoto , Mnyonyoshe tuuu hata zaidi ya iyo miaka miwili unless unasababu muhimu ya kumwachisha !!.
noted
Thank you very much
 
Nimefaidika na somo. Nilitaka nimwachishe miaka 2 ngoja niendelee mpaka afike 3 yrs.
 
Back
Top Bottom