Baada ya kuacha punyeto hatimaye nimepona

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Baada ya kufanya masturbation kwa miaka zaidi ya sita mfulilizo, ikanifanya nipoteze uwezo wangu wa kiume.
Mwaka juzi ni kafunga ndoa, lakini bahati mbaya Kila napo shiriki tendo dakika mbili Chali. Aiseee hali hiyo ilinitesa sana japo pia nilikuwa naendelea na masturbation mana I was too addicted.

Mwezi wa tano mwaka huu nikasema sasa mimi na nyeto basi tena, Nika mwambia mke wangu Hali halisi wonderful enough mke wangu huyu Hana makuu mama wa watu.

Basi Toka mwezi wa tano nikaanza program ya jogging Kila jioni kwa dakika 30, usiku before kulala natumia garlic vipande sita, asubuh na KUNYWA chai ya tangawizi, usiku pia nafanya kegel exercise.

Wakuu Toka nimeanza hizi program natumia dakika 25+ kwa goli la kwanza, na bado na Kuwa na uwezo wa kusimama tena.

Acha punyeto inauwa maisha yako
 
Fanya jogging jioni au asubuh kwa Muda wa dakika 30 Kila siku.

Tafuna vitunguu swaum vipande sita kabla ya kulala.
Asubuh tumia chai ya tangawizi, hakikisha matikiti na ndizi kwenye Kila mlo.

Ukifanys hayo hata ukiwa na penis inch 3 bro, itaitwa gods of sex
 
Back
Top Bottom