familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

    Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka. Je, nitakuwa nimekosea?
  2. Nini kilicho nyuma ya ma-producer wa Bongo kutokea kwenye familia za kishua/zenye unafuu kiuchumi?

    Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
  3. Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  4. B

    Walinzi wa Ranchi na maeneo ya ufugaji ya familia ya JPM huko Chato na Biharamulo waondolewa rasmi. Je, ufugaji utaendelezwa na Mama Janeth?

    Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii. Je, familia ya Mama Janeth...
  5. B

    Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

    Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia...
  6. Ukiweza kudhibiti matumizi ya sukari katika familia yako utaiokoa sana

    Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari. Wana historia wanasema kabla ya kugundulika kwa sukari, ingawa afya ya meno haikuwa bora kama ilivyo sasa lakini matatizo ya...
  7. Jinsi ya kuandaa Mkataba kati ya Mpangaji na Mpangishaji wa Nyumba za familia

    Kumbuka kuwa thamani ya nyumba ya biashara inaweza kuathiriwa na muda wa mkataba wa upangishaji wa nyumba husika. Nyumba ya biashara yenye mkataba wa upangishaji wa miaka mingi inakuwa na thamani kubwa ukilinganisha na nyumba ya biashara yenye mkataba wa miezi michache tu. Vilevile jambo hili...
  8. Usiandike Jina la mtoto Mmoja tu kwenye Mali ambayo itakuja kuwa urithi wa familia nzima

    Ewe mzazi, ushawahi kujiuliza swali nini kitatokea wewe ukishafariki? Mali ulizonazo leo kama ardhi, nyumba, viwanja na magari vinatawanyika vipi kwa familia yako? Ni jambo jema sana kununua assets mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya baadae lakini unapoandika jina la mtoto mkubwa kama mmiliki...
  9. P

    Swali: Je ni kitu gani ambacho familia au wazazi wako hawajui kukuhusu

    Hi guys, Mambo vipi? Mada inajieleza. From other social network. Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha Twende kazi na wengine.
  10. Sextuplets ni baraka kwa familia

    Hapa pumpers, maziwa, clinic, ada za shule. Uvivu utakwisha na hata vibarua utalima.
  11. Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Jinsia Me: Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana) Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living) Sio mweusi sana na asijichubue Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
  12. Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  13. Mjomba wangu anataka kuchomwa akifa, familia yake imekataa kaja kwangu, Nichukue uamuzi upi??

    Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kufanyiwa mazshi kwa kuchomwa mauti yakimkuta Sababu zake mpaka sasa hazijaniingia akilini, yeye hataki mwili wake uoze taratibu, sijui mambo ya mwili kutumika msukule, kuhofia kwamba ataamka akizikwa 😂 😂 n.k. Familia yake...
  14. Usitumie mapenzi kuzurumu haki ya familia ya mpenzi wako

    Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa. Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
  15. N

    Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  16. Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  17. Mwanamke aliyeadhibiwa adhabu kali ya moto kwa ajili ya kumtesa Paka

    Paka ni jamii ya wanyama wadogo, na mara nyingi hujulikana kama paka wa kufugwa ili kumtofautisha na wanyama wa mwituni. Paka anaweza kufugwa kama paka wa nyumbani, paka wa shambani au paka wa porini (Kimburu) ambaye yupo huru na huepuka kuwasiliana na binadamu. Paka wa nyumbani huthaminiwa na...
  18. Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  19. Fira: ni nyoka wenye sumu ambao ni wana wa nusufamilia Elapinae katika familia Elapidae

    Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo) Ngeli:Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini) Oda:Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka) Nusuoda:Serpentes (Nyoka)...
  20. Mwanza: Watu watano wa familia moja waungua moto na kufariki dunia

    Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza. Chanzo: Nipashe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…