Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

NGIMBER

Member
Oct 21, 2013
79
42
Jinsia Me:
Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi

Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana)
Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living)
Sio mweusi sana na asijichubue

Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
 
Kuna mwanamke kule love connect alikua anatafuta mchumba. Ebu jaribu kutafuta labda una hivyo vigezi
 
Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi

Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana)
Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living)
Sio mweusi sana na asijichubue

Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
Haujatuambia jinsia yako mkuu. Kuna jamaa anahitaji mke wa kumuoa nadhani atakufaa
 
Em acha uzembe ww piga bapa 1 afu umkute Ke yyote mwenye hizo sifa muimbe utakuja kunishukuru mkuu
NB. Mwanamke hapendi ukweli zingatia hilo cheza na mind ake t
 
Kama ni kutongoza tu sihitaji kupiga bapa mkuu ni uso mkavu tu natiririka verse bila shida yeyote.
 
Jinsia Me:
Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi

Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana)
Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living)
Sio mweusi sana na asijichubue

Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
Nipo hapa karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom