familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

    Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana. Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000. Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Familia yazika mtoto wa kike akiwa hai ili wapate utajiri

    Watu watatu akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20), (Wa kwanza kulia), wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kike mwenye umri wa miezi sita kwa kumzika shambani akiwa hai ili wapate mali. Ni kesi ya mauaji namba saba ya mwaka...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Familia za vigogo 12 zilizojimilikisha Bonde la Ihefu kuchunguzwa

    Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango ameagiza kushughulikiwa kwa watu zikiwamo familia 12 za viongozi waliovamia na kuchepusha maji Bonde la Ihefu. Amekemea uchepushaji huo kwani umesababisha kutotiririka kwa Mto Ruaha Mkuu kwa zaidi ya siku 130 sasa hivyo kuhatarisha maisha ya viumbe hai na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

    Hi gentlemen! Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana. Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  10. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

    Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester United ipo sokoni, hatimaye Familia ya Glazer ipo tayari kuiuza

    Inadaiwa kuwa wamiliki hao wanaweza kuiuza klabu hiyo kwa Pauni Bilioni 5 hadi 9 (Tsh. Trilioni 14 hadi 25). Tayari kampuni kadhaa zimeshateuliwa kufuatilia mchakato huo na kutathimini hali ya soko lilivyo. Familia hiyo iliinunua United mwaka 2005 lakini imekuwa ikipigiwa kelele na makundi...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi. Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mambo yaende. Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

    Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi. Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai? Mi nasema mtafuteni mshana...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Misingi mikuu unayotakiwa kuijenga kwa ajili yako au familia yako

    MISINGI MIKUU UNAYOTAKIWA KUIJENGA KWA AJILI YAKO AU FAMILIA YAKO Anaandika, Robert Heriel Mjenzi huru Andiko hili lamfaa mtu yeyote, wa umri wowote, wa jinsia yoyote, wa Hali na hadhi yoyote, wa mbari na jamii yoyote naam yeyote yule. Kwani kila nilichokiandika nimekipima, tena lugha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baba Majaliwa apongezwe. Ilikuwa ni lazima baba yake aikimbie familia ili kijana Majaliwa awe shujaa

    Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa. Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
  16. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  17. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Familia za askari wa Urusi waamua kwenda Ukraine kuwafata wapendwa wao

    Wakati Jeshi la Russia likiendelea kurudi nyuma chaa ajabu bado askarI wa Ukraine wanaendelea kuwashambulia bila huruma askari wa Russia wanaorudi nyuma. Russian sources are now also reporting a large amount of Russian forces are still stuck on one side of the Dnipro. Wakati huo huo ndugu wa...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

    Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa "Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wasichana waliotekwa miezi mitano iliyopita waachiwa huru baada ya familia kulipa pesa

    Wasichana hao katika Jimbo la Zamfara wamesema waliruhusiwa kuoga mara 5 tu ndani ya miezi mitano waliyokuwa mateka na tena hawakutakiwa kutumia sabuni. Watekaji walitishia kuwabadili wasichana hao kuwa sehemu ya kikosi chao kama hawatapata malipo. Mamlaka zimetangaza kuwa mateka hao...
Back
Top Bottom