Hakuna rangi atakayoacha kuionaView attachment 2049381
Hapa pumpers, maziwa, clinic, ada za shule. Uvivu utakwisha na hata vibarua utalima.
Uganda, right!???Kuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
Na Mungu hamnyimi rizikiKuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
binadamu gani anakuwa na watoto 6 wote umri mmoja. Kizazi kina step zake na maisha piaKuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
Na Mungu hamnyimi rizikiKuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
Una akili za kizungu ngozi tu nyeusiKuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
watoto 9 wanahudumiwa na wazazi wawili cha ajabu hao wakikua mtoto 1 kumhudumia mzazi japo mmoja ni ngumu,wacha wazazi waitwe wazaziKuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
Mmmh ni story au kweli?Kuna mmoja ana watoto tisa sio mapacha, anasema hamalizi mkopo wa chakula dukani. Akipata hela anapunguza deni maisha yanaendelea.
Vibarua vya kulima vitakufanya uwape sumu. Vinginevyo utaanza kuongea na wadudu kama Kangi LugoraView attachment 2049381
Hapa pumpers, maziwa, clinic, ada za shule. Uvivu utakwisha na hata vibarua utalima.
ukiwapata hao unaomba ufungwe kizaziHawa ni mapacha sita kwa mpigo
Vibarua vya kulima vitakufanya uwape sumu. Vinginevyo utaanza kuongea na wadudu kama Kangi Lugora
Ukiotea hii lazima utajua hujui na akili itakukaa sawa kichwaniView attachment 2049381
Hapa pumpers, maziwa, clinic, ada za shule. Uvivu utakwisha na hata vibarua utalima.