falsafa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050 itakayofungamanishwa na falsafa ya 4R ya Rais Samia na Katiba mpya italeta MATOKEO MAKUBWA KESHO

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo itakayo fungamanishwa na falsafa za 4R za Rais Samia na katiba mpya, ni matokeo makubwa kesho

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi Cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  3. JamiiForums Tanzania Teuzi Mpya: Rais Samia na falsafa ya kimageuzi kwa Watumishi wa Umma

    Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mpaka sasa hawajaelewa falsafa ya kocha wa Yanga Gamond njooni hapa mpate somo

    Kocha hana mpango na mfungaji bora, kocha anataka magoli, kocha an at a mchezaji yeyote ambaye yupo ndani ya box anatakiwa kufunga goli, kocha hataki ufalme wa mchezaji, kocha anataka ufalme wa Yanga. Wale wachezaji aina ya Inonga kumkamia mchezaji Fulani ndio mfungaji muwape ujumbe, gari...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu wamekuwa wakame rohoni sasa makanisani wanafundisha falsafa za kidunia, Falsafa ambazo unaweza kuzipata popote

    Injili ya kale ya akina Petro ilikuwa rhema. Rhema ni neno la Mungu kwa wakati husika. Yaani Mungu anasema kwa kinywa cha mtu. Anaweza kutumia neno hili la kila siku (logos) ila anaposema Mungu mwenyewe hulitia uzima na kutimiza kusudi lake kwa haraka kama umeme. Ndio maana ukisoma kitabu cha...
  6. JamiiForums Tanzania Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kila kiongozi na falsafa zake

    Tarehe 17 March 2021 ni mwaka ambao watanzania kwa mara ya kwanza walishuhudia tukio ambalo halikuwahi kutokea kabla, Tukio la kiongozi mkuu wa nchi, raia namba moja, Amir jeshi mkuu na mwenyekiti wa chama tawala Mheshimiwa Dr John Pombe Magufuli alitoweka katika ulimwengu huu. Kwa mujibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Falsafa ya Julius Nyerere: Uwajibikaji na Utawala Bora kama Msingi wa Maendeleo ya Kijamii katika Afrika

    FALSAFA YA JULIUS NYERERE: UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KAMA MSINGI WA MAENDELEO YA KIJAMII KATIKA AFRIKA Imeandikwa na: Mwl.RCT I. Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii, hasa katika nchi za Kiafrika. Julius Nyerere aliamini katika uwajibikaji...
  9. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha na Falsafa yake

    SEHEMU YA 1 Maisha ni mda anaoishi mwanadamu toka kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake. Tena maisha yanasifa moja kwa kila mwanadamu kama ifuatavyo, watu wengi wamekuwa wakisema kuwa maisha ni magumu kwa sababu ya changamoto nyingi kama, Kukosa chakula,kutoolewa,kusalitiwa,ajari za ghafla,magonjwa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, hii ndo falsafa ya Mwafrika?

    Ubuntu (umuntu ngumuntu ngabantu) "Ubuntu" (matamshi ya Zulu: [ùɓúntʼù]) ni neno la Kibantu la kabila la Nguni ambalo lina maana ya "utu". Mara nyingi hupewa tafsiri kama "Mimi ni kwa sababu sisi ni" (pia "Mimi ni kwa sababu wewe ni"), au "utu kwa wengine" (Zulu umuntu ngumuntu ngabantu)...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

    Kwema wakuu! TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani kuna member ambao ni waasisi na ma-father wa Ligi Fulani Fulani. Yaani wao mawazo Yao Kwa sehemu...
  13. JamiiForums Tanzania Falsafa za Adoph Hilter zinapendwa kutumiwa na viongozi wa Afrika kubaki madarakani

    Kuna wimbi kubwa wengi tunapenda kuokota bila kufatilia kiundani sana. Kama utakuwa umebahatika kujua na kusoma vizuri utawala adolph hilter basi utaona kuna chechembe nyingi aina ya viongozi wengi wakitumia ili kubaki, kukubalika na hata kutenganisha watu. Sio mgeni ndani ya nchi yetu na nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Ipi ni falsafa ya CCM kwa sasa?

    Enzi za Mwalimu katika mikutano ya CCM walichezesha nyimbo za akina Mbaraka Mwinshehe (nyimbo bila jasho) ulionekana Uzalendo hata unapocheza nyimbo hizo,juzi katika mikutano yetu ya Uchaguzi zilichezeshwa nyimbo na mtindo wanaocheza. Basi mtu utagundua tupo ki-hip hop singeli na rusha roho...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpe Kabudi Wizara ya Mambo ya Nje awanyooshe mabeberu. Ondoa falsafa ya kufungua nchi

    Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo. Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
  17. JamiiForums Tanzania Shaka: Falsafa ya Uchumi kuongoza Uchumi yathibitishwa TANZANIA ndani ya siku 558 za Rais Samia

    SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Falsafa ya elimu bila malipo

    Na mwandishi Nosim. Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali imejitahidi kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto kubwa inayopelekea wananchi haswa vijana na watoto kukosa...
  19. JamiiForums Tanzania Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM. NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA. KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
  20. JamiiForums Tanzania Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

    ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu. Huenda tusijue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…