falsafa

  1. Mpekuzi Tanzania

    Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  2. KHM 1995

    Falsafa za Muafrika katika uwanja wa kalamisine etihad

    Falsafa ni kitu cha msingi kwa mwanadamu. Falsafa inamtengenezea mtu platform ya kuwin challenge yoyote inayomuijia mbele yake,maana tunaamini njia bora zaidi kuishinda changamoto ni kuifata ili upambane nayo,maana ukiikimbia itabaki vile ilivyo na bado itakufukuzia kwa nyuma hadi ikupate...
  3. Naantombe Mushi

    Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
  4. T

    Bi Mongella: Kama taifa hatuna falsafa inayotuongoza

    Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
  5. T

    John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

    CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Yesu alikula na kunywa na walevi, Je, Rais Samia anatumia Falsafa hii?

    YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa Nazareth. Yesu wa Nazareth moja ya falsafa yake ni kuchangamana na Wale wanaotofautiana naye kiitikadi...
  7. Elius W Ndabila

    Dhana ya uhuru na falsafa ya kujitegemea

    DHANA YA UHURU NA UCHUMI WA KUJITEGEMEA KWA AFRIKA Na Elius Ndabila 0768239284 Tunapozungumzia uhuru kama dhana ya kifalsafa mara nyingi huwa tunafikiria uwezo wa mtu binafsi wa kufanya uamuzi, kujijua, kujiendesha kujirekebisha. Lakini pia huwa tunatia maanani mkondo ambao uko nje ya nafsi...
  8. zimmerman

    Falsafa ya MATAGA - Make Tanzania Great Again

    Wale wanaobeza wengine kwa kuwaita MATAGA wanafanya hivyo wakielewa hata maana ya neno MATAGA "Make Tanzania Great Again"? Taifa lilikuwa linaielekea kubaya hadi 2015, na watu tulitaka mwelekeo mpya wa nchi yetu. Doctrine ya MATAGA ni kujenga nchi yenye sifa zifuatazo: Viongozi watakaoweka...
  9. T

    Midahalo ya kisiasa ya makatibu wakuu wa vyama itafanikisha kuongeza mshikamo wa kisiasa.

    Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
  10. Leslie Mbena

    Wakosoaji wa Falsafa ya Magufulism katika uhusiano wa kimataifa

    WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Tangu ulipoondoka mambo yamebadirika, miluzi imeongezeka

    Tangu ulipoondoka mambo yamebadirika miluzi imeongezeka Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika, Watu waliookoka, wote wameshapotoka, Twarudi tulikotoka, taifa linaanguka, Tangu ulipoondoka, mambo yamebadilika. Tangu ulipoondoka, mafisadi wanacheka, Uchumi umeanguka, keki inapukutika, Rangi...
  12. Victor Mlaki

    Falsafa ya Kiafrika ya Ubuntu inavyoweza kusadia kupambana na ubadhirifu wa mali za Umma Tanzania

    Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora. Ubuntu ni neno la Kingoni linalotafsirika kwa Kiswahili kama "mtu si mtu bali watu". Msingi wa falsafa hii ni mtu si mtu bali watu. Katika lugha ya Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu". Falsafa...
  13. J

    Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

    Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi. Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili. Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu Kuwaingiza akina...
  14. Deogratias Mutungi

    Kivuli cha falsafa za Hayati Magufuli ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia

    Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia Deogratias Mutungi Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
  15. S

    Vita dhidi ya corona: Falsafa za Mzee Kinjekitile Ngwale katika vita dhidi ya ukoloni, inatumiwa katika vita dhidi ya corona na baadhi ya Watawala

    Kama umesoma historia ya nchi hii hasa katika mapambano au vita vya kupigana na mkoloni, bila shaka utakuwa umesoma na habari ya Mzee Kinjekitile Ngwale, kiongozi alieongoza watu wake katika kupambana na mkoloni ingawa alinyongwa na wakoloni wa kijerumani mwaka 1905 na kuacha vita ya maji...
  16. Deogratias Mutungi

    Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  17. bahati93

    Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  18. Afrolink-Tz Consult Ltd

    MAKALA: Falsafa ya biashara ili kuleta tija na mafanikio kibiashara

    Falsafa ya biashara ni nini? Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya utendaji. Falsafa ya biashara inaelezea kusudi la biashara na malengo yake. Inaweza pia kuorodhesha...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Falsafa za Yesu ni ngumu sana kwenye siasa

    Wakuu Nimejaribu kufikiria baadhi ya falsafa za Yesu wa Nazareth katika uwanja wa Siasa, Nimegundua ni ngumu mno, na hazitekelezeki kwa wengi wetu. Embu fikiria falsafa hii " Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi" Yesu wa Galilaya " Akunyang'anyaye mshipi, muachie na joho" Yesu wa...
Back
Top Bottom