faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Faida za kufeli katika biashara

    🙆‍♂️🙆‍♂️ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA. 👩‍🦽 Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli. 👆🏽MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI? 👇👇 😆😆 Nimekuwa nikifurahi sana na kuwapa majibu mazuri, kwanza hata Mimi mwenye nimefeli mara 5 na...
  2. J

    SoC01 Saikolojia ya kufanya makosa na faida zake

    Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
  3. Maskini mali zisizo na Faida kwa Warithi!

    Habari zenu! Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote". Tatizo lililopo katika usemi huu sio utoto, Bali ni kuzijua haki zake na kusimama kidete ili azipate. Kuna...
  4. Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  5. Kitengo cha maafa kivunjwe, hakina faida kwa Watanzania

    Kitengo cha maafa tangu kuanzishwa kwake chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu hakujawahi kusaidia waathirika wo wote na badala yake kimekuwa ni kitega uchumi na chanzo cha mapato cha serikali. Tulishuhudia wakati wananchi wenzetu wa mkoa wa Kagera walipopatwa na mkasa wa tetemeko la ardhi michango ya...
  6. Changamoto za career za Human Resources (officer/manager)

    Hawa jamaa unawachukuliaje hapo ofisini kwako? unawaona kama Viranja wanoko? wanakufuatilia saana maisha yako? Ila kumbuka kazi zao sometimes zinawafunga kwa kuwa mambo mengine ni maagizo ya Mwajiri. Kama ilivyokuwa kwa Mahakama na Polisi enzi za awamu ya 5 tupe uzoefu wa kazini kwako kuhusu...
  7. Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  8. Amos Makalla bado hujaiona faida ya Katiba Mpya?

    Tunakumbuka kuwa mwisho wa mwezi wa 5 mkuu wa mkoa Dar aliitisha vikao mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi mbele ya camera na kuja na mapendekezo ya kuisuka upya Dar na kuwapanga upya machinga kwa kuwa hafurahishwi na namna ilivyo sasa. Akaenda mbali kwa kutoa maagizo kwa wakurugenzi kuanza...
  9. Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  10. Chukua hii kwa faida yako, tumia jivu kupambana na utitiri wa kuku

    Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama. Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni. Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
  11. B

    Nina changamoto ya namna ya kupima chakula na juice ya kutengeneza ili kupata faida kwenye biashara yangu

    Habari zenu wadau, Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
  12. Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
  13. N

    Benki ya kilimo(TAB) na Waziri wa Kilimo vina faida gani?

    Ni kwanini ni ngumu sana kupata mkopo kutoka Benki ya Kilimo? Kwanini ili kukopa yabidi muanzishe kikundi ndiyo mpewe mkopo wakati kila mtu ana mopango yake malengo yake? Waziri anafaida gani iwapo anaona kabisaaa matawi ya benki ya kilimo yako miji mikubwa yenye lami na vijijini hakuna hata...
  14. Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

    Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
  15. Tupeane ABC, faida na Changamoto na namna ya kuzitatua kwa matangazo ya Instagram

    Habari wakuu. Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na...
  16. Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  17. FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  18. Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani, gharama za kusafirisha gunia moja mpaka godown gunia...
  19. Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wakuu Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima Hasara ni nyingi tuone.. 1: Utageuzwa kitega...
  20. Wakenya wanaoishi Marekani watuma hela ndefu kuliko kipindi chochote cha awali, faida za uraia pacha hizi

    Ndugu zetu mlioko Marekani na kwingine hongereni sana, endeleeni kuchuma huko na kuvutia nyumbani, mojawapo wa faida za uraia pacha ni kwamba hautaishia kufanya kazi za wabeba mabox kama unayo elimu yako unafaidi mazima mazima, majirani zetu walionunia uraia pacha imewacost diaspora wao, unakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…