Faida za kufeli katika biashara

MSDK pj

Member
Jul 17, 2021
10
29
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA.
πŸ‘©β€πŸ¦½ Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli.
πŸ‘†πŸ½MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI?
πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ˜†πŸ˜† Nimekuwa nikifurahi sana na kuwapa majibu mazuri, kwanza hata Mimi mwenye nimefeli mara 5 na zaidi.
πŸ§β€β™‚οΈ Nimesoma historia za watu mbalimbali walio fanikiwa walifeli mara dufu hata saivi bado wanazidi kufeli.
✍🏿 Nanukuu jack Ma( Tajiri mkubwa duniani) "Alisema hakuna mafanikio bila kufeli jifunze kutokana na kufeli, furahia kufeli kwani ndo kunakupa mafunzo zaidi kuliko kila kitu duniani. ( yeye aliwahi feli mara 30)
πŸ’§ Faida za kufeli
1. Unapata ujuzi zaidi: Watu wanachukia kufeli lakini kufeli kuna faida kubwa sana kupitia kufeli utapata ujuzi ambao bila kufeli huwezi kuupata ila kwa shariti ( hakikisha usiwe n mwenye kukata tamaa ,kukata tama huwa n mwiko kwa watu wenye malengo, kama umedhamiria kufanikiwa ktk jambo basi ondoa misingi ya kukata tamaa hapo ndo utaona faida ya kufeli)
✍🏿 Mtu aliyezoea kufeli zaidi ya mara tatu bila kukata tamaa huwa ni mtu asiyeogopa kuwekeza na pindi na pindi anapotaka kuanzisha biashara nyingine huwa anakuwa na picha halisi ya kule anapokwenda.
πŸ‘©β€πŸ¦½πŸ‘©β€πŸ¦½ Natoa mfano: Mtu X anasafiri kwenda mbali ila njia haijui , ila anapo kwenda ni pointi D, ili afike point D anatakiwa kupita point A,B,C,D.
πŸ™πŸ™ Alipo anza safari alipita point A, G,K kwa msingu huu hatoweza kufika point D kwani haja pita zile point.
πŸ‘†πŸ½ Akishindwa kufika lazima atajiuliza kwa nini kashindwa kufika point D, atagundua kwamba alikosea point ndo maana alifeli kufika point D, ataanza upya safari hapa tusema atapita pointi, A,B,G.
😁😁 Bado atafeli kufika point D kwani hakutakiwa kupita point G alitakiwa kupita point C,
Atarudia tena safari kwa wamu ya tatu atapita pointi ,A,B,C mpaka D.
πŸ™πŸ™ Hapa ni kwamba unapo feli ,kufeli kunakusaidi wewe kutambua njia sahihi ya kupita sio ile uliyo pita.
πŸ”₯πŸ”₯ Habari kwa walio feli: kufeli kwako ni faraja kwako kwani ukitizma vzr utagundua wapi ulikosea.
πŸ’§ Nakupa siri 1 usiyo ijua hivi uliwahi kujiuliza kwa nn matajiri wakubwa wanaweza kuwekeza pesa kubwa na wakitarajia kuirudisha Baada ya miaka zaidi ya 10???

Siri ni kwamba watu hawa washazoea ,na wanafuraia ,pia hawaogopi kufelii ndo maaana wanafanya mambo makubwa na wanapata faida kubwa.
πŸ’§ Mfano wewe umefeli kufanya Biashara yanguo utakuwa na faida kubwa sana:
Kwanza ukitaka kuanzisha biashara, utakuwa na maamuzi sahihi ya kibiashara kwani unakuwa ushajua njia na visababishi vya kufeli.
πŸ”₯πŸ”₯ Tuwe makini na mfano wa msafiri X, unapo feli uskitate tamaa au jiona huna bahati furahi kwani umeejifunza mambo ambayo usingeweza kufundishwa na mtu.
Simama tena anza tena.
Hata wewe kipnidi unaanza kuendesha basikeli ulidondoka sana ila huwa kata tamaa, ulijifunza taratibu, ukatambua makosa yako yanayo kupelekea kudodndoka mpka sasa waijua baiskel kuendesha vyema🀝🀝 Hata maisha ,Biashara zip hivyo hvyo ( kadri unavyo zidi kudondoka ndivyo unavyo zidi kusogelea mafanikio)
 
Tatizo kwenye kufeli,pesa inakuwa imepotea
Ni kweli sasa hiyo pesa inayo potea ni sawa na maarifa uliyo yapata baada ya kufeli kwahyo siku ukianzisha biashara tena huwez kukwama hapo.
Ukweli ni kwamba katika shule ya kawaida unaweza kusoma bila kutanguliza ada.
Lakini katika shule ya maisha lazima utangulize ada( hasara) ndo upate ujuze kwahiyo unapofeli usikate tamaa ila jifunze kutokana na kufeli kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom