Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana mipaka ya uwezo katika utendaji wake; yani mwanadamu ana mapungufu katika namna moja ama nyingine, hivyo kushindwa kufanya mambo fulani kwa ukamilifu- hivyo hukosea (au kufanya makosa).
Na hili ni dhahiri katika nyanja zote tu zinazohusu maisha ya mwanadamu...
Habari wana jukwa hili tamu,moja kwa moja ngoja nienda kwenye point,kuna biashara ya LIBRARY YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD ni biashara inayoonekana ya kawaida sana,ila ni biashara yenye pesa nyingi tu,ninaposema pesa nyingi nina maana faida kibao,isiyo na presha ya mtaji kukata,mara bidhaa...
Part One
Title: KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU ILI KUPATA SHULE ZINAZOJITEGEMEA NA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUTEGEMEA KARO, VILEVILE KUZALISHA WAHITIMU WENYE UJUZI WA MAZINGIRA YAO NA UHAKIKA WA KIPATO
Utangulizi
Kuna jambo halipo sawa kwenye mukstabali wa Elimu yetu nchini pamoja na dunia kwa...
MMEA WA BANGI NA FAIDA ZAKE KIAFYA
Mmea wa bangi umekuwa unatumika na baadhi ya jamii za dunia, Afrika na Tanzania pia tangu kale. Kwa Tanzania, wahadazabe wanatumia huu mmea.
Mataifa tofauti tofauti hapa duniani yameanza kuutumia huu mmea kwa matumizi mbali mbali yakiwemo matumizi ya kiafya...
Naitwa best , nipo Dar ni
ni mgeni kwenye jamii forum
na fursa nazozitoa kushirikisha vijana mawzo wenzangu kwenye jarida langu liitwalo online magazine tanzania
Dhumini la jarida Hilo ni kumsikikiza mawazo tofauti tofauti ya vijana wenye vipaji hili kuhamasisha jamii juu ya malezo ya...
Lavalava kitu kinachomkwamisha kutoendelea kimziki kwanza ana kaulimbukeni marafiki zake wanaomzunguka ni walamba midomo hawawezi kumshauri chochote zaidi ya mademu.
Lavalava anatakiwa abadilike otherwise atapitwa kila siku kwasababu ya uzembe wake na pia hajitathimini upya ili kuongeza mvuto...
Hii ni mada nimetaka kuileta kwa muda mrefu sana ila naona kama ni muda muafaka kufanya hivyo. Kwa muda mrefu kumekuwa na dhana kuwa mtu ukihojiwa na BBC au DW Idhaa za Kiswahili basi dunia nzima imekusikia. Naomba leo nitoe mwanga kidogo kuhusu suala hili.
Kuna vituo mbalimbali vya kimataifa...
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini?
MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo?
Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha.
Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya...
Wasalaaaam!
Kuna haja ya kujiuliza Kisha kupata jawabu sahihi.
Je, kuna faida gani kuwa na maisha ya kifahari sana huku ufahari huo utauacha ndani ya sekunde moja ya ukamilisho wa maisha yako?
Katika jamii yetu ya Kitanzania, kuna watu walio katika Magroup ya uhitaji na hawana msaada, mfano...
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa.
Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour'
●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
Twende kwenye mada moja kwa moja.
Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg.
Tuelezeni mchakato wa kilimo ulivyo,Hali ya hewa inayojitajika,utunzaji, changamoto nk.
Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana!
Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui!
Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale,
kwanza usumbufu...
MITAJI / MIKOPO
a) Wakopaji
Kuna wadau wengi katika Jamvi letu wanakuwa na uhitaji wa pesa kwa wakati Fulani lakini hawana pa kuzipata. Pia sababu watu hatujuani ni vigumu kuaminiana ila JF inaweza kutumika kama platform ya kuwaunganisha wahitaji (kwa kuwa-verify wakopaji) ili waweze...
Hukuongezea Maarifa
Kufundisha wengine ni njia bora ya kuongeza Maarifa yako kwasababu utahitajika kujiandaa kwa kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ili uweze kufundisha vyema
Huwezesha kujitathmini
Njia bora ya kujitathimini ni kwa kufundisha wengine kile unachokijua kisha uwaruhusu wakupe...
JOHN :-Habari yako bwana?
HASSAN :-Nzuri we Nani?
JOHN :-Natumaini hatufahamiani.
HASSAN :-Yes, sikufaham wewe nani nikumbushe..
JOHN :-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.
HASSAN :-ndio..
JOHN :-Mke wangu ni ANNA ambae kwa sasa ndio mpenzi wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye...
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.