faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  2. K

    SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  3. Gulio Tanzania

    Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa hata Serikali kuanzisha mitaala ili watu wapate elimu juu somo hili. Biashara nyingi bado nazoziona hasa...
  4. J

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
  5. Sky Eclat

    Mwanadada anaefanya kazi melini anaeleza faida na changamoto anazopitia

    Nilisoma kutoka kwenye gazeti, dada mmoja anasimulia changamoto anazopitia katika ajira yake kama mhudumu wa meli. Alianza kazi akiwa na miaka 22 na amedumu katika ajira hii kwa miaka 10. Kazi inakupatia malazi na chakula bure. Siku unazolipa kodi ya nyumba ni siku ukiwa likizo. Anasema...
  6. M

    Ndege zinazonunuliwa na Serikali zina faida gani wakati Human development iko very poor?

    Midege mingine mitano ya nini? 👇 -- Serikali inakusudia kununua ndege mpya tano katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwemo ndege moja ya mizigo, idadi ambayo itaifanya serikali kuwa na jumla ya ndege 16. Tayari serikali imetenga Sh353 bilioni katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya kugharamia...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

    Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.
  8. BigTall

    Ijue Tangawizi na faida zake katika mwili wa binadamu

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida nyingi katika mwili wa binadamu, ambapo tafiti zinaonesha unaweza kusaidia mambo haya: Tafiti kadha wa kadha zimefanyika na zimeainisha yafuatayo juu ya matumizi ya tangawizi: 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
  10. GENTAMYCINE

    Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  11. Rashda Zunde

    Faida za uboreshaji wa reli ya TAZARA

    Baada ya ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Rais Haikinde Hichilema pamoja na Rais Samia Suluhu wamekubaliana kuboresha reli ya TAZARA yenye miaka 46 tangu kujengwa kwake. Zifuatazo ni faida za maboresho ya reli hiyo: Kupunguza gharama za kufanya biashara Kuvuta wafanyabiashara wengi...
  12. Miss Zomboko

    Faida za Strawberry Kiafya

    FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI NI PAMOJA NA; 1. Husaidia katika kuimarisha uwezo wa ubongo katika kuweka na kutunza kumbukumbu,hivo kumfanya mtu kuwa na kumbukumbu zaidi 2. Matunda haya yana kiwango kikubwa cha Madini aina ya Zinc, hivo kusaidia katika maswala mazima ya uzazi kwa mwanaume 3...
  13. C

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  14. Getrude Mollel

    Tanzania itapata faida gani kama TAZARA itajengwa kwa kiwango cha SGR?

    Katika ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Mh Hakainde Hichilema July 2, 2022, yeye na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania walikubaliana kufufua ujenzi wa reli ya kihistoria ya TAZARA kwa kiwango cha ‘Standard Gauge Railway’ (SGR). Reli ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860...
  15. N

    SoC02 Afya: Tango na faida zake mwilini

    Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
  16. GENTAMYCINE

    Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

    Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu? Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure...
  17. Miss Zomboko

    Faida za Matunda ya Kiwi

    Kiwi ni tunda lenye afya zaidi. Massa yake yana vitamini vya kikundi B (haswa mengi ya B6), A, B, D, E, asidi ya folic, flavonoids, antioxidants, asidi ya kikaboni, protini ya mboga (actinidin). Matumizi ya kiwi mara kwa mara yanaweza kupunguza shinikizo la damu kwa sababu ya ulaji wa potasiamu...
  18. Lee Swagger

    Faida za Kiafya za Tangawizi na Vidokezo vya Lishe

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida kubwa tofauti kwa mwili na ustawi wetu kwa ujumla. Kwa muda mrefu, ilitumika katika jamii mbalimbali kwa sababu ya mali yake ya kawaida na ya lishe. Ina athari bora za ustawi na ubora na idadi kubwa ya wanamitindo na watumbuizaji hutegemea kunywa chai ya...
  19. M

    SoC02 Faida za Sayansi na Teknolojia ni zipi? Ni jinsi gani tunaweza kunufaika na Sayansi na Teknolojia kwenye jamii?

    UTANGULIZI SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na TEKNOLOJIA ni nyanja zinazotegemeana kwakuwa ujuzi unaopatikana kisayansi unategemea au kuchangia sana...
  20. H

    Zile taa kama balbu za rangi rangi kwenye malori kazi yake nini au faida yake?

    Wadau salama leko Kichwa kinaeleza hapo juu. Kuna malori baadhi yana taa za rangi rangi kama balbu za chumbani kuanzia mbele ya gari nyuma pembeni kushoto kulia juu chini ya gari kuna wengine wanaweka taa mpaka karibu na tairi kwenye yale madude kama makapeti yanayoning'inia karibu na...
Back
Top Bottom