Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi.
Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi?
Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho.
Wasije tu na wazo vijana...
Faida na Hasara za Kuwa Mbunge
Faida
1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa
Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni.
Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake.
2. Heshima na Umashuhuri
Ana hadhi kubwa kijamii na...
Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk
Upande wa faida:
Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
Utangulizi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Tuanze na faida
-Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote.
- Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali hili wanaume wenzangu kama nawaona ivi👀👀), unafanya nini? upo na nani, mbona kama nasikia sauti...
Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima.
Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe.
Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake.
Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na usafirishaji wa mizigo. Mashine hizi zimepitia mabadiliko makubwa tangu zianze kutengenezwa, na...
Tuanze na faida kwanza
1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe.
2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
Katika jamii yetu, mara nyingi kazi zinazochukuliwa kuwa "za ovyo ovyo" au zisizokuwa na hadhi ya juu zimedharauliwa. Watu wamekuwa na dhana kwamba kazi kama hizi hazina mbele wala nyuma, hazilipi, na haziwezi kumtoa mtu kimaisha. Lakini ukweli ni kwamba, dunia ya sasa imebadilika, na mara...
Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na:
Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000.
Kama una...
Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara?
Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
Igweee!
Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs.
Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience.
Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
Habari wataalam,
Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji.
natanguliza shukrani zenu kwangu.
Karibuni wataalam.
Toka tupate uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na sera kuu ambayo inaendelezwa hadi sasa ambayo asili ya sera hiyo ni (NAM) Yaani Non Aligned Movement, sera hii ilikuwa imetawala Sehemu kubwa ya dunia hususan katika Bara letu la Afrika na nchi za mashariki ya kati
Kwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.