Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,279 Reaction score 14,572 Oct 9, 2025 #2 Ndoa haijawahi kamwe kuwa na faida zaidi ya hasara tupu, naimani nimeeleweka sihitaji maswali mengi.
J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,413 Reaction score 97,283 Oct 9, 2025 #3 Inakuwaje unaliwa bure wakati mahari ilitolewa Hata hivyo tulipewa bure so kutoa bure sio kesi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,134 Reaction score 194,227 Oct 12, 2025 #4 Ngoja waje kama wapo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,664 Reaction score 184,077 Oct 12, 2025 #5 Smart911 said: Ngoja waje kama wapo... Cc: Mahondaw Click to expand... Ndoa tamu ndoa ni baraka