epuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Epuka jinsi uwezavyo kuweka tatoo mwilini mwako

    Kadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu. Tatoo hata kama unachora tatoo ya msalaba au kitu unachofikiri ni kitakatifu, ulichofanya ni kitu kibaya na hakitakuacha salama. Tatoo...
  2. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

    Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad...
  3. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Simamia mwenyewe kazi zako muhimu na epuka kufanya kazi kwa simu

    Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho. Kwa...
  4. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Oa au Olewa na MCHA MUNGU na siyo MCHA DINI. Epuka matapeli

    MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti. MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake! MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au...
  6. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania My sister chrismass inakujà Epuka huu mtego

    My sister, Mpenzi wako atakufanyia visa ili ukasirike hivi karibuni, Lakini usije ukagombana nae, ni mtego huo. Krismasi ipo karibu, dada. Siri ya kambi
  7. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  8. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  9. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, fanya hivi kuepuka kuchunwa

    Kumekua na janga kubwa la wanaume si vijana kwa wazee kuchunwa, kutumia pesa nyingi kwa mwanamke bila manufaa yoyote na lengo kuu la mwanamke huyo ni kutumia pesa au mali zako na mwisho wa lengo lake anakuacha na msongo wa mawazo na pressure. Kuepuka kutumika na mwanamke fanya yafuatayo * Weka...
  10. REM GROUP

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  11. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Epuka kuwambia watu huna kazi au huna mchongo! Hutapata wa kukukopesha wala kukusaidia

    Wakuu Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani. Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka Kumbuka kua 1.Kila mtu anahitaji mchongo 2.Kila mtu anahitaji connection 3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari 4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae 5.Kila...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

    Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Unawaza mnunue kiwanja mjenge mwenzako anawaza anunue kabati amtuze shoga yake kwenye shughuli, Epuka hizi type kama unajitafuta, utazeekea magetoni.

    Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta. Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Epuka kupakua Application nje ya 'Play Store' na 'App Store'

    Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store' Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store: - Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu - Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  17. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msafiri epuka kupitia Nairobi/JKIA maandamano hadi airport?

    Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, Hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini. https://nation.africa/kenya/news/-cabinet-tuesday-youths-plan-new-round-of-protests-ruto-4696998
  18. R

    JamiiForums Tanzania Epuka, hii ni mojawapo kati ya makufuru!

    Salaam, Shalom!! Kumekuwa na picha zinazotembea mitandaoni Hasa mtandao wa FB ikimuonyesha mtu mwenye mapembe mwenye mkia ana six parks, ambaye ni Rahisi kumhusisha na shetani, pia mwingine anaonekana akiwa amevaa vazi jeupe naye Kwa mara kadhaa amechorwa Kwa mwonekano kama mtu mwana mazoezi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Epuka hili, tafadhali

    Jamaa mmoja alifungua duka basi marafiki zake, familia, na majirani walinunua bidhaa kwake na wengine wakikopa, Baada ya miaka kadhaa, hiki ndicho kilichosalia. Mara nyingine tunakubali ndio wakati tungepaswa kusema hapana. Unakubali ndio ukifikiria unawasaidia watu lakini kwa kweli unapoteza...
Back
Top Bottom