JE! UNAJUA JAMBO GANI LITAMPATA MTU YULE, ALIYESIKIA UKWELI HALAFU HATAKI KUBADILIKA?
Biblia inaeleza wazi kabisa kulingana na maandiko hayo hapo juu, Mtumwa yule aliyetangaziwa uhuru wake baada ya kutumika miaka 6 akakataa (Yaani akaona ni vyema kuendelea katika utumwa wake.). Jambo linalotokea...
Wasalaam,
Wajumbe bila shaka mpo salama. Ni muda mrefu sijaandika chochote hapa kijiweni.
Leo nataka kurudia tu kile ambacho mara nyingi kimekuwa kikisisitizwa juu ya matumizi ya simu kwa madereva wakiwa wanaendesha.
Vijana wengi sasa wanamiliki magari kwa kuwa imekuwa nafuu kumiliki gari...
Wakati Figo zimeshindwa kufanya kazi yake. Dayalisisi ni njia ya bandia ya kutoa uchafu na maji yasiyohitajika mwilini. Njia bora ya kuokoa maisha kwa watu ambao Figo zao zimedhoofika kabisa.
Kazi ya Dayalisisi kwa magonjwa wa figo:-
-kusafisha damu kwa kutoa uchafu kama kreatinini na yulea...
MPOPOMA - Mti usio na kazi
Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana.
Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa sababu hauna kazi. Na matokeo yake, umekuwa miongoni mwa miti mirefu hifadhini Pugu Kazimzumbwi...
Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...

Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari.
Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani.
Zaburi 1: 1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo:
1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
Jina la Mwokozi YESU libarikiwe karibu tujifunze biblia.
Tabia ya kujifanya hujui na ilihali unajua ni mbaya na hatari, kwani ni sawa na kumjaribu MUNGU.. Kipo kisa kimoja kwenye biblia cha watu waliojifanya hawajui mbele ya Bwana YESU na matokeo yake hayakuwa mazuri.
Marko 11:27 “Wakafika...
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
Wanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
Pornography
Uvutaji sigara
Punyeto/kujichua
Unywaji pombe kupita kiasi
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...

Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.
Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi.
Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine
Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
Mhadhara (82)✍️
CHUKUA TAHADHALI KABLA YA HATARI.
Watoto wa sikuhizi ni watundu sana, hivyo katika uzi huu tunakumbushana mambo madogo ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani kwako.
Wale wavuta sigara mnaotumia viberiti vya aina mbalimbali kwa ajili ya kuwashia sigara zenu. Wamama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.