epuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OGTV

    JamiiForums Tanzania MASWALI NA MAJIBU: Msimu wa Diversity Visa ya Marekani kwa mwaka 2023, Epuka kutapeliwa

    Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii . Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako. https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa American Diversity Visa Season for the year 2023 Accurate information, Questions and Answers about...
  2. Igande

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
  3. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Epuka kuibiwa gari kwa kutumia funguo za ziada

    Note: Uzi huu unawahusu tu watu ambao gari zao zina Immobilizer Kama una funguo inafanana na hizi hapa chini. Then kaa hapa usome. Ipo hivi.... Kuna baadhi ya malalamiko watu wanalalamika kwamba wizi wa magari huenda unasababishwa na watu ambao walikuwa wamiliki wa hayo magari au...
  4. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Epuka Corona: Agiza mzigo nchi yoyote, tutausafirisha

    Tupo kwenye nyakati ngumu sana. Corona imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Na kwa kuwa bado hatuna uhakika na mwenendo wake, ni vyema tukaendelea kujilinda na kuepuka maambukizi. Nasi kama wadau wa lojistiki na usafirishaji, tunaojali afya za wateja wetu, tumeamua kuchukua risk kwa niaba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Epuka misongamano nitume sokoni

    Heshima zenu wakubwa Wakati tukiwa tunaendelea kupambana na COVID-19 na magonjwa mengine mengi na tkuiwa tunaepuka kwa kupunguza misongano ,kuvaa barakoa na njia nyinginezo .nimekuja na mbinu mpya ya kuwa saidia wahitaji wa vitu viuzwavyo masokoni na magengeni kwa kuweka order online na mimi...
  6. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Epuka na saidia kuepuka vitendo vya uonevu (bullying) na kikatili dhidi ya watoto

    Habari za wakati huu wapendwa wa JamiiForums. Bila shaka mko vizuri. Ambao mko Wadhaifu Mungu awape heri. Iko hivi, Napenda kuzungumzia kuhusu Uonevu (Bullying) Uonevu ni hali ya kufanya kitu fulani kwa mwingine kama vile kumdhalilisha, kumpiga au kumdhuru kwa namna yoyote ile hata bila sababu...
  7. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Waepuke watu wenye tabia hizi 15, ni sumu kwa mafanikio yako

    Rafiki yangu mpendwa, Kuna watu wanaitwa ‘watu sumu’ watu ambao kwa kujihusisha nao unajikuta ukirudi nyuma badala ya kusonga mbele. Kwa kuwa wale unaojihusisha nao huwa wana ushawishi mkubwa kwako, unapaswa kuwa makini sana na kila mtu unayemruhusu awe karibu yako. Leo tunakwenda kuziangalia...
Back
Top Bottom