epuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Epuka porojo, zijue takwimu za Yanga na Ihefu. Yanga iko juu!

    Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu, imecheza na Yanga mara tano. Kati ya hizo, Yanga imeshinda mara tatu. Ihefu imeshinda mara mbili...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

    Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini. Huu...
  3. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Epuka gharama kwa kuacha kununua vitu visivyo vya lazima, tumia mbinu hizi

    Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa. Mimi Kwa utafiti...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

    Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau. Say no tu janja...
  5. klinbritetz

    JamiiForums Tanzania Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Habari, Mtanzania mwana JF, Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi. Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya makadirio, kwa sasa, siku moja baada ya tarehe 31, March kunachaji(penati) ya Tsh 225,000 kwa KILA mwezi...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuache lawama za kurogwa: Kama ukoo wenu kuna ugonjwa/ulemavu wa kurithishwa epuka kuzaa na mtu mnaefanana. Ualbino, Uziwi, Kifafa, n.k vinaepukika

    Na uzuri ni kwamba sayansi imekuwa kwa sasa, tunaweza kupima dna kujua kama watoto ni wetu lakini pia tunaweza kupima dna kutambua kama tumebeba genes zenye magonjwa ya kurithi kama vile ualbino, uziwi, ububu, ulemavu wa akili, n.k. Mangonjwa yanayoweza kurithika hutokea pale ambapo watu wawili...
  7. Achapombe cha pombe

    JamiiForums Tanzania Epuka kuandika matusi na maneno machafu kwenye Simu yako

    Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence. Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu. Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dhibiti matumizi ya sukari za nyongeza ili uimarishe afya yako

    Changamoto za kiafya huja kwenye nyakati tunazotumia sukari nyingi za nyongeza, ambazo wazalishaji wa vyakula na vinywaji viwandani huiongeza ili kuboredha (kuongeza) ladha. Aina hii ya sukari ni hatari kwa afya ambapo tafiti za kisayansi huihusisha na mambo yafuatayo- Kuongezeka kwa uzito...
  9. Contraband

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

    Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri. Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
  10. Mkurya romantic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Epuka kufanya haya kwenye uhusiano wako

    Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  12. Google Diggers

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka mambo manne 4 kabla au wakati unaelekea kujamiiana(kufanya Mapenzi) na mwenzi wako

    1. Usinyoe nywele sehemu za siri. 2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa). 3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa achana na kufanya tendo hilo Hadi hapo hali itakapotengemaa. 4. Usile vitu au vyakula vyenye viungo...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Epuka makosa haya kwenye maisha.

    Epuka makosa haya kwenye maisha, yatakuchelewesha na yatakuzeesha haraka. Huyo mimi ndiyo nilimsomesha. Hilo paa mimi ndiyo nimempaulia ili ahamie kwake, alikwama kabisaaaaa. Hicho cheo mimi ndiyo nilimfanyia mpango akakipata. Usimuone hivyo mimi ndiyo nilikuwa nampa nauli sasa hivi hanijui...
  15. nyboma

    JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na marafiki ambao wakiona hela wanapagawa

    Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja. Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yako ya Siasa; Epuka mambo haya

    KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA; Kwa Mkono wa Robert Heriel. Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya ili uwe na Amani hata siku ujapoondoka duniani. 1. Epuka kumwaga Damu isiyo na hatia. Fanya...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

    Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo. Mambo matatu yenyewe: ( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi" ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vifahamu vyakula vya kuepuka kuvila ikiwa una kisukari

    Katika msururu wa kuadhimisha Siku ya Uelewa kuhusu ugonjwa wa Kisukari tunakupatia vidokezo vya namna kukabiliana na ugonjwa huo na jinsi ya kuulinda na jamii nzima. Idadi ya watu wenye kisukari duniani kote inakadiriwa kufikia milioni 422 lakini ukweli ni kwamba hata watoto wanaambukizwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Badru wa HESLB tambua wote ni wahitaji epuka matabaka!

    Hivi karibuni niliandika uzi huu: https://www.jamiiforums.com/threads/bodi-ya-mikopo-elimu-ya-juu-heslb-wanatokaje-awamu-hii.1922083/ Hata hivyo Badru bado anajisifia kuwa walioangaliwa Zaidi kwenye mikopo ni wale watoto wenye uhitaji zaidi wanaotoka familia duni. Ukweli hajui watoto wa wale...
Back
Top Bottom