eneo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  3. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiongozi wa eneo kuomba vitu vilivyojadiliwa na kupitishiwa bajeti(bungeni) katika mihadhara?Anaehadaiwa ni nani?

    Kama kawa wanajamvi!( Na mimi nimeona nianze na kasalamu kama ndg Pasikali!) Imezoeleka huku majimboni pindi cha ziara za viongozi kuona wawakilishi wa wananchi wakisimama na kuomba miradi ya maendeleo kwa viongozi walioko ziara! Na wananchi pasi kujua kama hayo mambo yalikaliwa vikao na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Songwe: Machinga 1,300 wakimbia eneo walilowekwa kwa muda baada ya ujenzi wa Soko kutelekezwa Tunduma

    Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe, wamelazimika kulikimbia eneo hilo baada ya sintofahamu ya kusimama kwa ujenzi wa Soko la Kisasa la...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo la biashara linauzwa wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania ENEO LINAUZWA

    Eneo lipo Mwasonga Kigamboni lina ukubwa wa heka 14 ila zinazouzwa ni heka 6 tu bei ni 6M kwa heka moja. Mawasiliano 0784427363.
  7. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania 🇮🇱 Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotric

    Wanaukumbi. Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia. Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muliro: Clip ya anayedaiwa kuiba mtoto eneo la Goba ni ya Julai, 2022

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya watu wanaodaiwa kuwa ni wapenzi Polisi baada ya kufika eneo la tukio walibaini kuwepo kwa mwili wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata vyeti vyangu hususan eneo la Tarime 2024

    Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

    Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR). Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho katika eneo la Teknolojia kwa ujumla kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo

    Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi. Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili kufikia maendeleo endelevu na kuimarisha uchumi wa taifa. Teknolojia ina uwezo wa kuleta mapinduzi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
  14. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Eneo linapangishwa Mwananyamala kwa showroom au garage

    Kwa Anayehitaji Eneo Kwa Ajili Ya Kuweka SHOWROOM Au GARAGE Hilo Hapo Ni Jipya Kabisa Na Limeshakamilika. Lipo Mwananyamala "A" Barabara Ya Mwinjuma Jijini Dar Es Salaam. Ukubwa Wake Ni 576SQM Na Lina Uwezo Wa Kuweka Hadi Gari 30 Na Kuendelea Pia Kwa Wale Wa Modern Garage Mnakaribishwa. Kodi...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi...
  16. Ibun Mallik

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima kuendana na kasi ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Yafuatayo yakifanyika...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Maswa aamlisha Uhamiaji wamkamate Mwananchi aliyepewa eneo lake la Mkuu wa Mkoa

    Habari, Muda mfupi uliopita DC MASWA amewaagiza askari wa uhamiaji kumkamata Baraka Kabezi na familia yake yote mkazi wa Marampaka Maswa kuwa siyo raia wa Tanzania na hivi sasa anashikiliwa na ofisi za uhamiaji Maswa. Chanzo ni mgogoro wa ardhi baina ya Baraka na Diwani wa eneo hilo na DC wa...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hii ni hali ya Rainbow Beach Serikali ya Mtaa safishen hili eneo limejuwa hatarishi kwa uchafu

    Kuwa uone mengi Hii ni sehemu ya Rainbow Mbezi Beach ambapo watu mbali mbalihuuja kupumzika na wengine hufanya mazoezi kukimbia magonjwa hatarishi Kwenu serikali za mitaa Mbezi Beach embu tuache siasa tusaidie kulisafisha na kutunza eneo letu hili la siku nyingi.
  19. G5bajuta

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ituambie ukweli kama eneo la viwanda vya Urafiki wamemuuzia au kumpa mwekezaji. Haiingii akilini kwamba wameuza kwa NHC

    Kuna watu tuna nusa kama mbwa. Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo. Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba. Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
Back
Top Bottom