Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,523
- 4,277
======
UPDATES
=======
Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
Elimon parangwini.
Umenena lililo la kweli na kweli tupu. Tumejenga mabarabara ya mwendokasi na tumeshindwa kuendesha. SGR ni janga lililo wazi.Kama mwendokasi tu umewashinda hata hiyo sgr haitadumu. Kwanza tumeletewa mtumba ambao imetumika miaka kumi huko Korea kusini
Kwenye kujenga tunaweza kwasababu kuna 10% kuendesha hatuwezi na hatuna interest kwasababau hakuna rusha ya chapchapIt's another white elephant project. Kama nchi hatujawahi kufanya kitu kwa ufanisi tangu tupate uhuru. Angalia mwendokasi tu imewashinda, we plan, design and construct....baada ya hapo wanakuja wataalam wa kuhujumu na kazi inaishia hapo.
...
Kweli kabisa mkuu. Yan ni mambo ya ujanja -ujanja tu. Ndo mana watu wakashauri ni kheri kubinafsisha.It's another white elephant project. Kama nchi hatujawahi kufanya kitu kwa ufanisi tangu tupate uhuru. Angalia mwendokasi tu imewashinda, we plan, design and construct....baada ya hapo wanakuja wataalam wa kuhujumu na kazi inaishia hapo.
We need to accommodate the SGR othwise money is gone from tax payerIt's another white elephant project. Kama nchi hatujawahi kufanya kitu kwa ufanisi tangu tupate uhuru. Angalia mwendokasi tu imewashinda, we plan, design and construct....baada ya hapo wanakuja wataalam wa kuhujumu na kazi inaishia hapo.
Ingekuwa enzi zile, hao majamaa haraka sana wangefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi n then wanaswekwa lupango chap.hii nchi inatia kinyaaa tatizo tunaongea sana... utendaji 0