eneo

  1. Twilumba

    JamiiForums Sehemu za kuingilia Kigamboni; Kigamboni Ferry na Darajani kufungwe Camera kudhibiti uwezekano wa kuwa eneo la kihalifu

    Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
  2. sonofobia

    JamiiForums Mudathir Yahya kuna siku ataigharimu timu kwa maguvu yake eneo la golini

    Muda Yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box huwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili. Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
  3. Newcastle1234

    JamiiForums Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

    Liwe sio mbali na Bagamoyo mjini kwasababu litajengwa hospital. Lenye hati litapewa kipaumbele
  4. Ritz

    JamiiForums Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  5. Ndama Matandiko

    JamiiForums Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu? Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽ Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid. Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
  6. U

    JamiiForums KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

    Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi...
  7. Cecil J

    JamiiForums Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Yaani uweke Kambi yako eneo ambalo analijua na kila Siku anakuumizia hapo hapo halafu leo ujitutumue Kumfunga na Kufuta Uteja? Wadanganyeni Wehu wenu

    Mimi ninachojua tu ni kwamba leo ndiyo tunaenda Kuachwa rasmi kwa Alama Nne (4) na Wao kuwa Mabingwa tena.
  9. Ritz

    JamiiForums Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  10. aise

    JamiiForums Karibu nikujengee uzio wa nyumba yako au eneo lako kwa bei sawa na bure

    Habari zenu wakuu, kama unahitaji kuwekea eneo lako uzio (fensi) Basi karibu nikufanyie kazi yako kwa bei sawa na bure. 0624254690
  11. Nyendo

    JamiiForums KERO Taa za Barabarani eneo la Kona ya Nairobi zitengenezwe, ni hatarishi kwa usalama

    Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa kuwa na bahati nazo kukuta zinawaka. Lakini kwa ufupi tu ni kuwa ujumbe wangu Mamlaka zinazohusika...
  12. J

    JamiiForums Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  13. Dsm Installers Tech

    JamiiForums Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  14. W

    JamiiForums Plot4Sale ENEO LINAUZWA KISEMVULE KWA BEI YA OFA

    Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200, Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls and sms...
  15. W

    JamiiForums Plot4Sale Eneo linauzwa Kisemvule

    Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200. Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet. Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana. 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls...
  16. M

    JamiiForums Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

    Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi? Hebu tubadilike. Watu...
  17. Ndama Matandiko

    JamiiForums Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  18. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni. Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika zisizo zidi 15 kwa gari/pikipiki. Kiwanja kipo mjini haswaa. Kiwanja kina size ya mita 10 X 10 yaani...
  19. Ochoa Real Estate

    JamiiForums MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  20. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
Back
Top Bottom