elimu

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  2. JamiiForums Tanzania Waziri TAMISEMI tunaharibu elimu siasa zisiharibu utaratibu uniform zina sababu ya kuwepo tikiruhusu hilo mabint wataishia kwenye magheto

    tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa...
  3. JamiiForums Tanzania UDOM na PhD kwa wanasiasa. Nini chanzo cha mchezo huu katika elimu ya nchi hii?

    Walioanza siyo tu UDOM, ni UDSM na OUT. SUA sijawahi kuwasikia wakitoa digrii za kisiasa kwa wanasiasa. Kwa ufupi wanasiasa wanaharibu elimu ya nchi hii kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo ambao wanapewa kuviongoza kisiasa. Cheo cha Vice Chancellor (VC) ni muhimu sana ktk uongozi wa chuo cha...
  4. JamiiForums Tanzania IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

    Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tozo za simu badala ya kujenga madarasa na zahanati sasa zinanunua magari ya maafisa elimu

    Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni hakuna madarasa, hakuna maabara, hakuna nyumba za waalimu. hakuna mabweni na hata madawati bado ni...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kuwa mwenyekiti wa Bodi ya GPE ni fursa kwa Tanzaina; Wizara ya Elimu Changamkeni, Ndalichako usisale

    Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania. Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani. Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
  8. JamiiForums Tanzania Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili

    Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia fahamu kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa elimu, Wakuu wa wilaya na walimu wakuu wana mtandao wa wizi wa pesa za madarasa

    Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wizara za TAMISEMI na Elimu liangalieni hili, watu wananyanyaswa

    MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO? Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu! Amani iwe kwako! Miezi michache iliyopita, Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula, ilifichua taarifa za kupigwa kwa Witness...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

    Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya. Niliwahi kuwa Dubai...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mnaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) naomba kuwajulisha mnavyoweza kuiba au kuibiwa

    Vijana wangu najua mnakwenda vyuo lakini hamtoki na maarifa mnatoka na vyeti. Kwani nasema mnatoka na vyeti, ni kwa sababu mnashindwa kutafsiri hata mkopo mnaopewa unatolewa kwa sheria gani na una masharti gani. Leo mhitimu wa chuo kikuu unamuuliza unadaiwa kiasi gani na bodi mkopo awezi kujibu...
  14. JamiiForums Tanzania MIAKA 60 YA UHURU: Elimu yet ya mfumo was F5&6 bado in tija kwenye taifa let?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna msemo una sema " ukitaka kuleta maendeleo ktk taifa lolote, badili au weka mfumo mzuri wa Elimu". Hivyo Basi naomba kuwasilisha kwa wadau swali langu kuwa; "Elimu yetu ambayo mwanafunzi akimaliza form 4 anaenda form 5&6, ina tija gani kwa taifa letu?" Maelezo...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimuonesha nia ya kumtaka kimapenzi ila sikumtongoza, tangu hapo akiniona unanikimbia

    Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani...
  17. JamiiForums Tanzania Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

    Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia? Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Hi to everyone, and hope you're doin fine. Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa. Ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na: 1...
  19. JamiiForums Tanzania Maktaba Kuu ya Taifa

    Natumaini ndugu ni wazima katika harakati za kurijenga taifa. Katika nchi yeyote ile elimu ni jambo muhimu sana ili kusaidia taifa kuendelea, kwa mtazamo wangu sioni kama taifa tunaweka nguvu nyingi katika kukuza elimu yetu na miundombinu yake. Nyumba imara ni ile yenye msingi imara sio paa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…