Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
Habari za asbh Wana bodi wenzangu!
Naomba nijulishwe kwa mwenye uzoefu juu ya Jambo hili.
Nina miliki kasteshenari huku mikoani, Mwaka Jana wakati nakaanzusha nikalazimika kutafuta leseni ya biashara, huko nikalazimika lazima nianze kwanza TRA ili kupata Tax clearance, nikafanyiwa makadirio ya...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Kazi iendelee.....
Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa kalenda mpya ya mtaala inayowataka walimu wote Tanzania kuwa sawa ktk ufundishaji. Kwa maana kama leo...
Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa.
Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake.
Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
Habari wanajukwaa,
Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini.
Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpakakidato cha 6, ambapo kila mwalimu anatakiwa kuandaa kalenda la kufundisha na kwamba wanatak...
Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi.
Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta...
Nimechukua stanza yangu moja tu no.2.... naona mkeka unaelekea kutiki hapaa.
Shairi ni moja beti sita na kila moja na hadhi ya pisi unayotaka. Sasa kazi kwako.
Ngugu zangu kwanza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu.
Rais ana nafasi ya kujenga ambayo haitasahaulika maisha akifanya haya..
1...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI
Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, rais wa chama cha Skauti Tanzania.
Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea yangu machache...
Matajiri halali wadunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha.
1. ELON MUSK
Bachelor of Physics
Bachelor of Economics.
Utajiri wake aliupata baada ya kuuza program aliyobuni wakati anasoma
2.
3.
4.
5.
Tuendelee kuwataja.
Mambo vipi,
Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
Nafikiri sote tunakumbuka vyema kuna mjadala wa Elimu uliibuka mwaka jana na ulianza kabla ya hapo ila nafikiri uliimarika mwaka jana.
Hoja kuu ilikuwa ni Elimu yetu ya sasa haimnufaishi mwanafunzi na hata mzazi au jamii ilomsomesha. Kulikuwa na makongamano kadhaa. Lile la Mlimani City na...
IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA;
Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii.
" ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:-
C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
Siku ya Kimataifa ya Elimu huadhimishwa kila Januari 24. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, hivi leo Watoto na Vijana Milioni 258 hawaendi Shule.
Vilevile kwa mujibu wa Shirika la UNESCO, Watoto na Vijana Milioni 617 wanaoenda Shule hawawezi kusoma na kufanya Hesabu za kawaida. Wengine...
Kuna suali najiuliza kila siku kwa wasomi wetu kwanini tukipata Raisi muumini wa Dini nyingine, upizani wa bila hoja unaanzishwa tena na watu wasomi? Na kiongozi wajuu kupewa majina yanao ishiria ubaguzi wa dini, wakati hi nchi haina udini ukabila ubaguzi wa aina yoyote, muasisi wa nchi hi...
Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA
Kama haitofunguka
Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11 kitaifa
Lakn sule ya SEKONDARI FEZA WAVULANA ina watoto 62 lakn 59 wamepata daraja la 1 na 2 daraja la 2...