elimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanzania Institute Of Education (TIE) does the textbooks business in a "cocaine style". Is that the core job of the institute?

    Here you get Kiswahili version to start with followed by English version KISWAHILI VERSION TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII? Kwanza kabisa TET...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  3. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles πŸ‡ΈπŸ‡¨ (51st) 2. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ (73rd) 3. Mauritius πŸ‡²πŸ‡Ί (78th) 4. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ (84th) 5. Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ (90th) 6. Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ (104th) 7. Eswatini πŸ‡ΈπŸ‡Ώ (105th) 8. Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ (106th) 9. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ (113th) 10. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ (114th) 11. Cape Verde πŸ‡¨πŸ‡» (118th) 12. Sao Tome and Principe πŸ‡ΈπŸ‡Ή (119th)...
  4. JamiiForums Tanzania Kupitisha Elimu ya Msingi kuishia std 6 Nchini hili jambo lipoje?

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani ikiwemo kuondoa mitihani ya mwisho means mitihani itakuwa form 4, comb zitaanzia form 1. Pls Naibu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba kushauri hivi kuhusu Fedha za Boost kwenye Elimu kabla ya kuanza utekelezaji

    Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi. Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa, Maabara za shule pamoja na madawati ili watoto wetu wawe na mazingira rafiki...
  6. JamiiForums Tanzania Rais tatizo halipo kwenye Elimu na mitaala

    Tatizo ni wenye dhamana hawana kazi ya kufanya. Wanakushauri vby hawafanyi kazi wao, wanaofanyakaz ni watu wa kada za chini. Kuhusu kupunguza maafisa Elimu ni kutafuta kick. Wataka sifa kwako. Wanataka posho zao zisigiswe watu wa kada za chini hawana hata posho ya maji uhai ya 500. Haohao...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022. Hali hii imekwenda mbali...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe. Muhutasari huu hapa. Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu. [emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254] ...Masomo kupunguzwa sekondari, ...civics na general study kufutwa kabisa, ...somo la...
  10. JamiiForums Tanzania Shule inayotembea

    Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi. PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm. 0622374787 or PM to get my email
  11. JamiiForums Tanzania Tunajenga Taifa la Wajinga Kujinufaisha Kisiasa - Ati Trilioni 13 zatekeleza miradi ya afya, elimu Mbeya

    Ati Mkoa wa Mbeya umetumia Trilioni 13 kutekeleza miradi mbali ya maji, elimu na afya kwa mwaka 2021/2022. Hii ikiwa ni zaidi ya robo ya bajeti Taifa iliyotengwa na serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo ilikuwa ni kiasi cha trilioni 41. Ikiwa kila mkoa umetumia trilioni kiasi kama hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

    Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikuwa poa tu kwa upande wao. Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu Zanzibar yakabidhiwa Vishkwambi 6,600

    WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YAKABIDHIWA JUMLA YA VISHKWAMBI 6,600 Na Ipyana Mwaipaja, WyEST, DSM Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishkwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa ajili ya kugawa kwa walimu ili kuwapa motisha na...
  15. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya elimu

    Naomba mwenye mwongozo wa sera mpya ya elimu (pdf) atume ili wadau tujue kwa undani yaliyomo!
  16. JamiiForums Tanzania Kutafuta chief popularity Kwa kuharibu misingi ya Elimu nchini

    Kiongoz anaingia madarakani. Anaanza. 1. Kufuta ada. 2. Kuongeza madarasa. 3. Kuondoa mitihani. 4. Kuweka kitu kipya. 5. Ameona inafaa, what,why! 6. Kupaka wanja. 7. Kuvaa pensi. 8. Kupiga singeli. Eti jangwani, Azania sekondari sio shule teule. Ref. Waliopangiwa shule za sekondari 2023 Jamani
  17. I

    JamiiForums Tanzania Elimu ina umuhimu

    Tusidanganyane bila elimu ata kama unahitaji kuwa mfanyabiashara mkubwa lazima uwe na elimu ata kama wewe CEO lazima assistant wako awe na elimu. Most of the time mjini hapa ajira ni connection ni watu wachache sana ambao wanapata ajira Kwa bahati zao. Pia CHUKI ni nyingi UKIWA KWENYE mipango...
  18. JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani acheni kuua wawekezaji binafsi kwenye elimu kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani

    Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye shule binafsi tu. Bahati mbaya hakuna uwazi wa namna wanavyofikia maamuzi yao. Kwa kawaida udangayifu...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…