elimu

  1. Street brain

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
  2. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania NECTA/TAMISEMI/Wizara ya Elimu na hili nalo mlitazame

    Mara baada ya Matokeo ya Jana ya Darasa la Saba, niliamua kufanya utafiti wangu Mdogo. Kwanza, nilichagua Mikoa ya Tanzania 20 randomly. Pili, Kila Mkoa nikachagua wilaya 2 . Tatu, Kila Wilaya nikachagua Shule 5 za Serikali ( Kidumu mfagio ,wanyonge ) ... Na shule 1 ya Magari ya njano(...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha mitaala yetu ya elimu vyuo vikuu ni kazi ngumu sana isiyowezekana

    Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
  5. data

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ni bandia

    Ndugu wananchi, elimu ya Tanzania ni fake. Vijana wanaenda shule kuitika majina, watu wanahitimu wanarudi mtaani wameharibika zaidi. Watizameni form four walorejea huko home/mtaani. Hitimisho Elimu ya Tanzania ni fake.
  6. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Tuko tayari kwa mjadala wa kitaifa kuhusu Mapendekezo ya Sera ya Elimu na Mitaala

    Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya Serikali ili kupata ridhaa ya rasimu zilizoandaliwa kupelekwa kwa wadau kwa mjadala wa kitaifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa...
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Sensa, hii ndiyo mikoa liyowekeza vyema kwenye suala la elimu

    Mikoa mama ya Kanda ya ziwa yani Mwanza, Mara na Kagera inaonekana kujizatiti vyema haswa katika swala la elimu ikifuatiwa na mikoa ya pwani pamoja na kaskazini. Kwa hiyo kile kitendawili cha mikoa gani inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi hapa Tanzania huenda kikawa kimeteguliwa na sensa ya watu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nikimsikiliza Lusinde na Msukuma kisha nikaja kimsikiliza huyu Bashiru; naiona elimu ya juu haina maana kabisaaa!

    Hawa wawili wako real, wanaeleweka misimamo yao kitambo tu na wanaisimamia na wanaujua uhalisia mwingi wa hali halisi ya watanzania. Sijapata kumuona Msukuma akiwa kigeugeu; anaipigania bangi hadi leo. Sijapata kumuona Lusinde kigeugeu kwa viongozi wake. Nikimuangalia bashiru, naona ni mtu...
  9. Tango73

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya elimu Tanzania

    Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini. Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuwabagua waliosoma private mikopo elimu ya juu kunaenda kuigharimu Serikali

    Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu. Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
  12. Kaji Bagome

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi (W) Magu, rekebisha uongozi wa Shule ya Msingi Magu

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee, sawa; moja kwa moja kwenye Mada. DEO Msingi (W) Magu, napenda kukujulisha kwamba, uongozi wa Shule ya Msingi Magu umepwaya, kiasi kwamba mshikamano wa waalimu shuleni hapo haupo; waalimu wamegawanywa na Mwalimu Mkuu EZEKIEL NJALLA; kiasi kwamba...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mkopo Elimu ya Juu

    Katika kuhakikisha wanafunzi wa elimu ya juu wanatimiza ndoto zao Serikali ya Rais Samia Suluhu imekuja na Suluhu. Rais Samia Suluhu ameidhinisha nyongeza ya TZS bilioni 84 kwa wanafunzi 42,000 waliokuwa na changamoto ya mikopo ya elimu ya juu, nchi nzima. Wanafunzi waliokusudiwa awali walikuwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu yasubiri idhini ya Baraza la Mawaziri

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mabadiliko makubwa kwenye elimu yanakuja. Alisema Rais Samia alitaka Wizara ya Elimu kufanya mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ilitungwa wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne. “Sera iliyopo haijatekelezwa...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wa vyuo vikuu hawana maarifa ya kufanya mabadiliko chanya kwao na kwa jamii

    Hivi kwa huu utaratibu wa vyuo vingi tulivyo navyo hapa nchini tunatarajia hawa wasomi wetu watatutoa kweli. Vyuo vingi vinatoa wahitimu wengi lakini ambao wanakosa sifa za kiusomi kwa sababu nyingi. Na hizi ndizo nilizobaini kwanza uwezo mdogo wa hao wanachuo wenyewe katika mazingira ya...
  17. raxx

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wetu wa elimu ni chanzo cha umasikini?

    Moja kwa moja kwenye mada!! Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu. Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa Elimu utakuwa na manufaa miaka 50 ijayo?

    Nianze kwa kusema naipongeza serikali kwa juhudi kubwa iliyoiweka katika utengenezaji was miundombinu mizuri hasa madarasa pamoja na kuweka mikopo Kwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Swali linabaki Moja je, uwekezaji huu wa serikali kwenye Elimu utawezesha vijana kuwa na fikra chanya juu ya...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania HESLB yafungua dirisha rufaa za mikopo Elimu ya Juu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa viwango vya mikopo kulingana na uhitaji wao. Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
Back
Top Bottom