Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa.
Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa sana ambayo ni Nndoa, taasisi hii inaundwa na mwanamke na mwanaume matokeo ya muda mrefu hadi mfupi...
Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu?
Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana? sheria inaruhusu?
Unakuta mzazi anakwambia, "Mimi nitakusomesha mpaka pale utakaposema basi" lakini kukupa mtaji heh utasubiri sana.
Mzazi atajitutumua hata Kama ada ni kubwa atailipa hivyo hivyo. Unaweza mwambia mzee, hiyo pesa badala ya kunipeleka Feza Schools, unaonaje upatie nifungue biashara? Atagoma...
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake?
Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi
Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali?
Kuboresha Upatikanaji wa...
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB).
Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania.
Jamiiforums kama mdau mmoja wapo wa elimu na mabadiliko inatoa fursa kwa Wanachama wake na umma kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya nini hasa kibadilike katika mfumo wa elimu uliopo.
Ili kupata nafasi hii...
Rais Samia mama yetu tunatambua nia yako njema ni kuiona Tanzania ikisonga mbele na kuondoa manung'uniko mengi.
Mama wewe ni mfariji mkuu tunaomba unapokuwa unazungumza na wanafunzi wa vyuo hapo Dodoma uliangalie suala gumu ambalo tulikabiliana nalo mwaka jana tulipokuwa katika mafunzo kwa...
Aisee maisha yana kila aina ya furaha na karaha, tunapitia mengi lakini mwisho wa watu wengi ni mzuri, amini hivyo.
Nakumbuka namaliza chuo ile sina hili wala lile, naingia mtaani na mabaki ya boom (kiinua mgongo), with hope nitakuja kutoboa tu. But kitaa ndio hichoo kikaniita mzee. Daah mdogo...
Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji.
1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki
2. School of money by Olumide O Emmanuel
3. Cash flow Quandrant by Robert Kiyosaki
4. Guide to Investing by Robert Kiyosaki
5. Rich Dad...
Wiki hii tumeshudia bungeni wabunge na mawaziri wakiringishiana viwango vya elimu wengine wakitamba na PHD zao kwamba ni za darasani sio za kupewa na wengine wakiambiwa hawana elimu ni waganga wa kienyeji.
Ni muhimu Spika wa Bunge kuruhusu uhakiki wa vyeti vya elimu kwa wabunge ili kujua ukweli...
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
Kuna huu utaratibu wa baadhi ya watu hasa askari wengi wanaochukua wanawake ambao siyo wapenzi wala wake zao na kwenda nao kujipima VVU kwa kutumia hivi vipimo vya rapid tests kabla ya kukutana nao kimwili lakini kitu kibaya zaidi hawa askari hawana elimu ya namna ya kuongea na mtu endapo...
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini...
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia moyo aendeleze mapambano
Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na:
1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
Salaam wakuu,
Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.