elimu

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza bajeti ya elimu bila ada kwa asilimia 15

    Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa unaomalizika wa 2022/23. Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023 /24...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Battle Pesa Vs Elimu

    1. Wengine wanasema pesa ndo Kila kitu. 2. Mwingine añasema Elimu ndo Kila kitu. 3. Mimi nasema uwe navyo vyeto ni fedheha kukosa Elimu/Pesa. 4. Wewe unasemaje?.
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa elimu ni takataka, unatulazimisha tuwe watu wa kukariri zaidi kuliko kuelewa. Kukariri hakuwezi kuleta ubunifu

    Naomba nisieleweke vibaya nashare tu mtazamo wangu ili kuboresha na kuwa na taifa bora zaidi lenye uwezo wa kutatua matatizo yake kwa kutumia wataalamu wake. Mfumo wetu wa elimu huko hivi unamchukua samaki na ndege aina ya tai alafu unawapa mtihani mmoja. Yaani unampima samaki kwa kupaa juu na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nipeni elimu juu ya madeni ya Luku, hayo madeni huwa yanakopwa na nani? Kwanini nidaiwe mimi kwenye meter yangu?

    Habari zenu wote humu ndani. Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha . Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 225 zimetolewa na Serikali Kuu Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu Jimbo la Manonga, Igunga, Tabora

    MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha Shilingi Milioni 225,000,000/= kutoka Serikali Kuu za Ujenzi wa Nyumba za Waalimu na kukamilisha...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

    YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!! NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!! Somo tajwa hapo juu lahusika. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote waliolisimamia suala letu walimu!Nianze na ofisi ya Rais, Wizara ya Elimu Tamisemi, Ofisi ya Takukuru...
  10. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji elimu ya aina gani kwa karne hii tuliyopo?

    Ni kwa muda mrefu sasa tumekuwa katika aina na mfumo ule ule wa elimu na mrejesho katika matokeo yake umekuwa mdogo sana.je tunahitaji kubadili nini na tunahitaji aina gani ya mifumo ya elimu itakayotuletea mabadiliko ya kweli? Tupo katika karne nyingine kabisa na kizazi tofauti kabisa, je elimu...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Wabunge wa Tanzania

    Upo wajibu wa Rais, wajibu wa Makamu wa Rais, waziri mkuu, Mawaziri, wabunge, spike na wananchi. Hivyohivyo kwenye ngazi ya familia uko wajibu wa baba, wajibu wa mama na wajibu watoto. Kila wajibu (role) una matarajio (expectations) kwa wale unaowahudumia na mara nyingi kama sio mara zote kila...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

    Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Elimu muhimu kwa mashabiki na wapenda wa mpira

    Mpira ni ajira na burudani kama burudani nyingine. Mpira ni ajira kwa kuwa Kuna watu wanapata pesa kutokana na mpira kama mishahara ya moja kwa moja na wengine hupata pesa kwa kuwauzia bidhaa (jezi, vuvuzela, maji, pombe, juice, vyakula, tiketi, usafirishaji wa wanaoenda na kutoka kwenye mpira...
  14. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

    Mimi namkumbuka Mwl. Minja. Yule mama Mungu ampe maisha marefu, kuna siku moja nilitaka kujisaidia haja ndogo ila zipu ya mkaputura wangu ukagoma kushuka chini! Yule mama aliponiona nalia kwa kuhofia nitajikojolea akaja akanituliza kwanza. Akaniuliza shida nini, nikamwambia zipu imegoma...
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kuuza mali zako kumsomesha mtoto ili aje akusaidie baadae au ubaki na mali zako na mtoto umpa elimu ya maisha

    Familia nyingi zimefeli baada ya kumaliza mali kama mashamba,mifugo n.k kwa kuwasomesha watoto wao mwisho watoto wao wamekuja na vyeti nyumbani. Elimu ya maisha yamekosa hata elimu waliyoipata huko shuleni wamerudi mtaani haitumiki. elimu yako ndo inayokutesa.... kazi unayofanya sasa hivi...
  16. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

    Kwa ufupi tu msonde tangu ufike Tamisemi umekuwa na Mambo mengi Sana ambayo mengine hayana ufanisi ebu yapunguze, kutokana na karenda kuanzia tarehe 31/03/2023 ni likizo Ila kutokana na maagizo yako ya ajaubu ajabu likizo imekuwa Kama kiini macho shule zinaendelea na kazi wanafunzi na walimu...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ambayo haimpi mtu Maarifa ina umuhimu gani?

    Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Aelekeza Waratibu wa TASAF Kupatiwa Elimu

    MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO. Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi kuondokana na hali iyo duni kuwapa ruzuku itakayowasaidia kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi, hivyo ni...
  19. Mr kenice

    JamiiForums Tanzania Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu ya dini nisaidieni: Ni ipi hekima iliyojificha katika mateso makali wayapatayo wanyama?

    Habarini! Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali. Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu. Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
Back
Top Bottom