Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,039
- 71,272
Mara baada ya Matokeo ya Jana ya Darasa la Saba, niliamua kufanya utafiti wangu Mdogo.
Kwanza, nilichagua Mikoa ya Tanzania 20 randomly.
Pili, Kila Mkoa nikachagua wilaya 2 .
Tatu, Kila Wilaya nikachagua Shule 5 za Serikali ( Kidumu mfagio ,wanyonge ) ... Na shule 1 ya Magari ya njano( Wakishuaaa/Walamba Asali ).
Nikagundua ya kwamba .
Kwenye hizo Shule 5 za Serikali, HAMNA USHINDI WA DARAJA ""A"". Wachache wameanzia Daraja B, wengi wameangukia Daraja C.
Kwa upande wa "Magari ya Njano, Wakishuaaa .. UNAKUTA SHULE INA WATOTO 50, WOTE WANA DARAJA "A"
yaan mpaka hiyo HESABU /HISABATI ambayo wengine wakati tunasoma , ukipata "A" , Kuanzia Shule, Diwani ,Wazazi, ni wanakufanyia Sherehe ... Ila watoto wa MAGARI YA NJANO, kwao Hesabu ni Maji ya kunywa, Usishangae Darasa Zima Kupata A.
Ni kweli Hawa wote ni watoto wetu, na lengo ni Moja tu, kuwapa ELIMU !!.
Ila Sasa Ndugu zangu, Ni kweli hizi shule binafsi, Zina fundisha vizuri Kwa kiwango hicho kwamba Darasa Zima lipate A, ?? A mpaka ya Hisabati ?.
Hivi ni kweli, watoto wa Magari ya njano, wako na intelligence hiyo hata Darasa Zima wapate A ?.
Hivi kweli, Watoto wetu wa Kidumu Mfagio , ni wajinga sana mpaka waishie kupata B, C, D ?.
Au ndo kwamba, shule za Kidumu mfagio, Walimu hawajali na hawafundishi au malupulupu au nini??.
OMBI LANGU KWENU WAHUSIKA.
1-TAMISEMI, Wakati wa upangaji wa majina ya kwenda Sekondari, niwaombe sana, WALE WANAFUNZI WA KIDUMU NA UFAGIO, WALOBATIKA KUPATA UFAULU WA "B" , Tena akiwa amefaulu SOMO LA HESABU Kwa UFAULU WA " B ", wafikirieni Mara tatutatu kwenye Shule za Vipaji .
2-Wizara ya Elimu, hizi shule binafsi zinafanya Biashara, Hawa watoto sanasana wanachojua ni lugha tu ya kingereza, ila uwezo wao ni Mdogo , wanapata ufaulu mkubwa sababu ya WIZI WA MITIHANI ....NA KWA MAWAZO YANGU , WIZI WA MITIHANI UNAFANYIKA NDANI YA CHUMBA CHA MTIHANI , YAAN MSIMAMIZI/WASIMAMIZI WANAPIGWA MLUNGULA, KISHA MWALIMU AU MSAMIZI HUYOHUYO ATAANZA KUSOVU MTIHANI, KISHA MAJIBU WATAPEWA WANAFUNZI HAWA .
Sio haki, na haiwezekan Mwanafunzi alofaulu Kwa wizi WA MITIHANI wa SHULE BINAFSI, Apelekwe shule za Kipaji maalaumu ili hali amechukua Nafasi ya Mwanafunzi wa serikali alofaulu Kwa Daraja B lakini Kwa nguvu zake na Akili yake yaaan 'Kuvuna sawa na ulichopanda'.