Sera mpya ya elimu

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,511
5,021
Naomba mwenye mwongozo wa sera mpya ya elimu (pdf) atume ili wadau tujue kwa undani yaliyomo!
 
Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu.

🌸🌸🌸🌸🌸

...Masomo kupunguzwa sekondari,

...civics na general study kufutwa kabisa,

...somo la elimu jumuishi kwa mitaala ya ualimu kuanzishwa..

....walimu wa diploma watafundisha primary tu,

....hakuna tena kutoa certificate za grade A za shule za msingi.....waliopo wataendelea ila hakuna kuingiza wengine vyuoni.

....walimu wa shule za msingi watamaliza form six na wakienda chuoni wanafundishwa pedagogy pekee(bila content) kwa miaka 2 na kwenda kufundisha primary.

....walimu kuongezwa mishahara..
Walimu wenye mazingira magumu watalipwa posho ya mazingira magumu kuliko wale wa mjini.

.....elimu ya msingi miaka 6 tu.

...walimu kusajiriwa katika bodi ya walimu na kupewa lesen ya kufundisha kama ilivyo bodi za mawakili na madaktari.

.....maafisa wa elimu wilayani wapunguzwe....
hili tayari limefanyiwa kazi. Kwa meru tayari wamesambazwa jana......lusajo kapelekwa Karatu, Neema kapelekwa Ngorongoro, Morice kapelekwa longido....wamebakia ofisini Mulokozi, baharia na Angel tu.

.....walimu kuwapa elimu wanafunzi kupinga ulawiti na ushoga. Marufuku kulala kitanda 1 watoto 2 au zaidi.

......masomo ya biology na geography yatakuwa optional kwa o-level. Mtoto sio lazima ayasome, wakati huo civics na GS yatafutwa yataishia primary level tu.

.....walimu vyuoni watalazimika kusoma pia elimu ya ufundi na kufundishwa mashuleni.

....michepuo/combinations mpya kuongezeka kwa A-level.

.....wanafunzi kufundishwa ujasiliamali mashuleni ili wawe na uelewa wa kujiajiri.

...Miundombinu ya shule nyumba za walimu kuongezwa.

......kuanzishwa shule za veta kwa ngazi ya sekondari. Wanafunz wakimaluza darasa la 6 wataenda wote sekondari na watapewa mtihan wakiwa form one kuchuja wengine wasome masomo ya jumla na wengine wasome ufundi.

Haya ni machache maana kuandika yote hapa sio rahisi.

Wito wangu.
Walimu tuwe tayari kwa mabadiliko makubwa baadae yakianza kutekelezwa. Tujiandae kisaikolojia.

Ila alieandika hii nimecheka sana yaan haya maboresho eti yameahaanza kufanyiwa kazi. Nimecheka sana!!!
 
Kwanini wanaandika vipengele vichache? Si wangetoa wote kila mtu asome!
 
Wakuu

Sawa

Sera tunazo nyingi, utekelezaji tunasubiri kama kweli kuna nia ya dhati!

BINAFSI nipo tayari kwa utekelezaji wa sera HIZO kama ni kweli Wana nia ya dhati!!

Hapo kwenye nyongeza ya mishahara tunasubiri TUONE itakuwaje,

CWT BADO ni kichaka cha unyonyaji makato yapunguzwe yawe 5000/= tu hakuna kupanda wala kushuka wala asilimia Mbili 2%,wanavunja Moyo walimu na kuwafanya host wa maumivu!

Ifikie kipindi ujinga huu uishe!

Washughulikie na Bodi ya mikopo kuna ujinga mwingi Sana pale!

Salary slip haiwezi onyesha 0.00 HALAFU makato yakaendelea kwa mlipaji huo ni wizi uliohalalishwa na serikali kwa kisingizio cha system haijafuta makato!

TUSUBIRI

MUNGU IBARIKI TANZANIA NCHI YANGU
 
Hivi naomba kuuliza wanatumiakigezo gani kupata na kuleta sera mpya ya elimu? je hakuja jukwaa huru linalowekwa wataalamu na wananchi na walimu kwa ujumla watoe mapendekezo ambayo yata leta tija na kuendana na Dunia ya sasa ktk kukuza Elimu?
 
Walitoa link ya watu kutoa maoni online na walianzisha pia mijadala kwa baadhi ya wadau.

Sasa cha muhimu ni kujua yaliyomo kwenye hiyo sera, je yanakidhi matakwa ya wadau wa elimu?
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi huu, tuombe Mungu na iwe kwa faida ya Taifa na vizazi vijavyo.
 
Kwenye hii nchi kuna tatizo kubwa sana la watunga sera na watekelezaji wa sera (policy planners vs policy implenters) Hakuna muunganiko.

Na ndio maana mara nyingi wadau wa chini ambao ndio watekelezaji wakubwa, wanabaki tu kulaumiwa!
 
Back
Top Bottom