Kupitisha Elimu ya Msingi kuishia std 6 Nchini hili jambo lipoje?

Rusumo one

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,078
3,609
Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani ikiwemo kuondoa mitihani ya mwisho means mitihani itakuwa form 4, comb zitaanzia form 1. Pls Naibu Waziri njoo hapa jibu hili jambo, By mzazi wa mwanafunzi std 6 next yr 2023.
 
Sasa wale wanafunzi wanaochaguliwagwa vipaji maalum kidato cha kwanza watapatikana kwa utaratibu hupi? Kama la 6 akutakua na mtihani au hzo shule akutakua na kidato cha kwanza watasubir wachunjwe shule zingine wao waletewe wanafunzi form 2 waliochujwa shule nyinginee. ?? Bado mkanganyiko tu mambo hovyo hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom