Elimu ya yoga.
Yoga ni elimu ambayo inahusisha viungo vya mwili pamoja na pumzi. Yoga ni moja ya somo muhimu sana katika nchi za Asia, elimu hii inafaa kwa kila rika, ukizingatia katika ufanyaji wake. yoga inafaida nyingi sana katika mwili wa binadamu.
Ukiachilia mbali chakula, yoga ni kitu...