edward lowassa

Edward Lowassa
Edward Ngoyai Lowassa (26 August 1953 – 10 February 2024) was a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania[2] from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.[3] Lowassa went into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania.[4][5] Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.

After the ruling CCM failed to select him as its candidate for the October 2015 presidential election, he left the party and stood instead as an opposition candidate. He was defeated in the election by CCM candidate John Magufuli.
  1. Inevitable

    Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    Wakuu, Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili. ======== UPDATE: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa...
  2. J

    Unakumbuka nini kuhusu CHADEMA katika hii miaka 30 tangu iasisiwe? Sitasahau nyomi la Lowassa pale Jangwani 2015

    Katika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine. Je, unaipongeza Chadema kwa lipi? Je, ungependa chama hiki kikuu cha upinzani kijirekebishe katika maeneo gani? Je, unafikiri Chadema ni chama...
  3. J

    Waliomtukana Lowassa 2015 ndio hao hao wanaomsimanga Magufuli leo, sijui CCM tunahitaji kiongozi wa namna gani?

    Nimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi. Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio...
  4. Ngamanya Kitangalala

    Mvua za kutengeneza (mvua za Lowassa)

    Mwaka 2006, nchi yetu ilikubwa na ukame, nakumbuka waziri mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, alikwenda nchini Thailand, kujaribu kufanya mazungumzo na serikali ya Thailand, ili walete wataalamu wao waje kuleta utaalamu wa KUTENGENEZA MVUA ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na ukame kwa...
  5. Erythrocyte

    Rais Samia Suluhu akutana na Edward Lowassa

    Hii ndio taarifa mpya inayopatikana mitandaoni baada ya Rais kumtembelea Lowassa nyumbani kwake, bali haijulikani nini walichojadiliana.
  6. Ndombwindo

    CCM ilishachokwa kuanzia muda mrefu hapa nchini

    Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda, ukiangalia namna nchi yetu iliyovyoendeshwa kuanzia 2005 awamu ya Kikwete mpaka 2015, na baadae 2015 mpaka 2020 awamu ya Magufuli utagundua kitu hapo. Hulka za kiuongozi alizokuwa nazo Kikwete ziliruhusu wananchi kuwa wazi na uhuru katika...
  7. Nyankurungu2020

    Edward Lowassa aliwaonya CCM kuwa ukosefu wa ajira ni bomu la petrol linalosubiri kulipuka, leo hii wamachinga waliojiajiri wanafurushwa hovyo

    Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi? Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna? Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa. Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
  8. K

    Vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Mzee Jakaya Kikwete na Edward Lowassa

    I declare interest Mimi ni muumini wa Kikwete na Lowassa, Historia inaeleza kua hawa jamaa walikua marafiki wakubwa sana mpaka lilivokuja suala la Richmond inasemekana ndio lililowavuruga Lakini pamoja na kugombana mmoja akiwa ni mwenyekiti wa CCM taifa mwingine akiwa mgombea urais wa chama...
  9. B

    Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  10. J

    Kama Chadema ni waumini wa Katiba ya Wananchi, kwanini waliizika UKAWA na kumkumbatia Lowassa aliye muumini wa Katiba ya Chenge?

    Nawasalimu kwa jina la JMT Swali langu ni hili: Kama Chadema ni waumini wa kweli wa Katiba ya Wananchi (Rasimu ya Warioba) kwanini waliizika UKAWA kwa kumfurusha muasisi wake Prof Lipumba na msaidizi wake Dr Slaa kisha wakamkaribisha Mzee Lowassa wa CCM ambaye kimsingi alikuwa ni muumini wa...
  11. Shujaa Mwendazake

    Nape Nnauye uliweza kumuangukia Hayati Magufuli; ni wakati wa kumuangukia Mungu na Mzee Lowassa kwa laana hii

    Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai wa Rais atakayekuwa madarakani. Sihitaji kujua kama Msajili wa vyama vya siasa alikuwapo ama lah...
  12. Erythrocyte

    Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

    Hivi ndivyo ilivyokuwa
  13. Q

    GE2020 Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020

    Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...
  14. Bonde la Baraka

    Viongozi wa CHADEMA mliwapokea Lowassa na Sumaye kwa ridhaa ya nani, na kwa manufaa ya nani?

    Habari! Mimi napenda kuwauliza viongozi wa CHADEMA. Je, uamuzi wa haraka wa kuwapokea na kuwapa nafasi haraka viongozi hawa wanaolipwa na kulindwa na serikali mpaka kifo chao mliotoa wapi? Kwanini mliwapa nafasi ndani ya CHADEMA haraka? Mliamini ikulu mtaingia kupitia hawa? Mlitaka kuongeza...
  15. K

    Edward Lowassa ni mtu mwenye maono, uthubutu na misimamo, anafaa kuwa Rais ajaye wa Tanzania, Mungu akutangulie, akulinde na akupiganie

    Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi. Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
  16. Ndata

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo. Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally. Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo Rais Magufuli, Rostam Aziz, Mzee Phillip Mangula, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, Humphrey Polepole...
  17. J

    Wabunge wa Lowassa wamerudi CCM na kumpa majibu Dr Slaa kwamba mzee wao alikuwa ni Liability kwa CHADEMA!

    Mwenye macho haambiwi tazama......hatimaye swali la Dr Slaa He Lowassa no asset au liability limepata majibu. Tunakoelekea Chadema itabaki na Mbowe na wale binti wa Ndesamburo basi!
  18. Allen Kilewella

    Miaka 10 ya Kashfa ya Richmond bila ya Lowassa kufikishwa mahakamani!

    Siku tano zilizopita yaani tarehe 7/2/2018 ilitimia miaka kumi kamili tangu Edward Lowassa ajiuzulu uwaziri Mkuu tarehe 7/2/2008 kutokana na kuhusishwa na Kashfa ya utoaji Tenda kwa kampuni ya kufua umeme ya richmond. Lakini mpaka leo mbali ya kutuhumiwa tu na mahasimu wake wa kisiasa Lowassa...
  19. MsemajiUkweli

    TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa. Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa...
  20. TataMadiba

    KUBENEA Tuambie LOWASSA Alishajibu Hii Makala Yako Kuhusu RICHMOND?

    MJADALA juu ya Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaendelea kushika kasi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Hili limetokea muda mfupi baada ya vyama vinavyounda Muungano wa Kutetea Katiba ya...
Back
Top Bottom