edward lowassa

Edward Lowassa
Edward Ngoyai Lowassa (26 August 1953 – 10 February 2024) was a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania[2] from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.[3] Lowassa went into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania.[4][5] Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.

After the ruling CCM failed to select him as its candidate for the October 2015 presidential election, he left the party and stood instead as an opposition candidate. He was defeated in the election by CCM candidate John Magufuli.
  1. Return Of Undertaker

    Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

    Ikiwa siku chache baada ya dr Mwakyembe kudai Lowasa ni muhusika mkuu wa Richmond na hachomoki waziri mkuu huyo wa zamani amjibu. Lowasa amedai kama ana udhibitisho inatakiwa aende mahakamani sio bungeni na kwenye majukwaa ya siasa ili ubishi uishe. Ila Lowasa akamkumbusha ukweli unajulikana...
  2. Mchumi90

    Kwa mwenendo wa Mwakyembe, Richmond tuna mashaka nayo

    Wakuu, Naomba nikiri kati ya mawaziri niliowaamini kwenye awamu hii ya tano ni huyu Mwakyembe. Kinachotokea sasa nabaki mdomo wazi, yeye ni mtu wa kuwaza tumbo lake tu (anauwezo wa kukataa hata jina lake huko tunakoenda). Kwenye bunge la katiba alianza kuonesha haya mambo ya ajabu, alikuwa...
  3. Umslopagazi

    Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Swali: Kwa mfano, amesema elimu itakuwa ni ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Lakini pia amesema anauchukia sana umasikini na amechukua makundi ambayo yamebeba idadi kubwa ya Watanzania: Mama n’tilie, dereva bodaboda na vijana wasiao na ajira. Tuliona juzi akishiriki katika usafiri wa...
  4. Travelogue_tz

    Kamari ya kumtosa Lowassa na kumpitisha Makongoro

    CCM wapo katika nyakati ngumu katika kupitisha mgombea wa Urais ambaye anakubalika na Wananchi kwa upande mmoja na watawala kwa upande mwingine. Tathmini inaonesha kuwa wagombea ni wawili tu Yaani anayekubalika na watawala ambao ni Membe, Sitta Mwandosya, Sumaye, Kigwangala, Mwigulu,Wasira...
  5. Weston Songoro

    Kwanini Saed Kubenea na Absalom Kibanda wanaweweseka baada ya taarifa ya kutimuliwa Lowassa CCM?

    Bandugu, natumai kuwa hamjambo na mko vema baada ya kuadhimisha Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kwa hakika ilifana sana. Wakati wa mapumziko ya weekend na Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilisikika taarifa kuwa Kamati Kuu ya CCM ambayo inaketi leo Zanzibar katika kikao chake cha...
  6. Pascal Mayalla

    Kama Kashfa Escrow ni "Richmond", Then, Lowassa Alionewa?, Kama Ni "EPA!" Then, Wahusika Wasionewe!

    Wanabodi, Azimio la Bunge kuhusu Escrow, limetolewa leo, na mjadala wa Escrow, umefungwa rasmi, wakati mjadala huu unaanza, nilisema humu, Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna Atakayewajibika!. Jee leo baada ya mjadala kumalizika, vipi kuna yeyote...
  7. Rutashubanyuma

    Mwakyembe's Dar railways project bears the hallmarks of the Richmond/DOWANS dejavu!

    Mwakyembe pogoes to debase fellow lawyers as callow demagogues during the fateful constitutional debacle but most of his roadside bombshells tell us more about himself than his intended victims. He holds no grudge barred when he contemptuously criticized lawyers behind the anti-CCM...
  8. Kaka Mtenga

    Nani anatakiwa kutuambia ukweli kuhusu Richmond kati ya Lowassa na Dr. Mwakyembe?

    Wanajamvi, Ni ukweli usiopingika kuwa Watz tumeumia sana na bado tunaendelea kuumia kutokana na lile JANGA LA RICHMOND ambalo liliisababishia serikali hasara kubwa sana ya kulipa Tsh.152ml. kila siku miaka miwili mfululizo bila kupata hata MW 1 ya umeme Dr.H.Mwakyembe akiwa m/kiti wa tume...
  9. willy ze great

    "Zimwi" la Richmond bado linamtesa Edward Lowassa na mbio za urais

    VIONGOZI waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharula wa Richmond bado wanaendelea kung'ang'aniwa kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo. Wanaotajwa kushiriki kikamilifu, ni Edward Lowassa aliyekuwa waziri mkuu. Wengine waliokuwa mawaziri kwa nyakati...
  10. mgt software

    Lowassa aliyekataliwa akimnadi Sioi atakubalika na Mzimu wake wa Richmond kwenye Urais?

    Ni wiki mbili sasa tangu Mbunge wa Monduli atawanye ubwabwa na Nyama lundo kwa wale anaowasema kuwa ni Rafiki wake, au Mashabiki wake, wakiwemo wenye viti wa mikoa na wilaya, hata baadhi ya mawaziri, na akaamua kutoa yaliyo moyoni, kwa kujinadi kuwa ni Rais au Mngombea Urais mtarajiwa, bila...
  11. Mwamba Usemao Kweli

    Lowassa ana dhambi nyingine dhidi ya Richmond?

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond? Huyo mtu hakuanza kuhusishwa na kashfa za ufisadi leo wala jana,... wewe kama unapenda sura yake nenda kanywe nae chai. (By J.K.Nyerere). ANA LAANA YA MWALIMU NYERERE, NO WONDER HIZI RECENT CAMPAIGNS ZA KUMDISCREDIT MWALIMU ZINA LENGO MAHSUSI LA...
  12. Meitinyiku L. Robinson

    Edward Lowassa Richmond kuibuliwa 2008 kama si mapenzi ya Mungu Israel na aseme

    Binafsi niungane na wale wasemao kila jambo linapotokea kuna sababu. Zaidi ya hili kuna wasemao apangalo Mungu mwanadamu hawezi kulipangua. Nasema haya kwa moyo wa dhati kabisa baada ya kukaa na kufikiri dhoruba aliyoipata Mhe. Edward Lowassa mwaka 2008 jambo ambalo wahuni wachache waliamua...
  13. Yericko Nyerere

    Uhusika wa Rais Kikwete katika utapeli wa Richmond...kwa mujibu wa Lowassa ?

    HATIMAYE Edward Lowassa ametoka hadharani na kuonyesha kuwa anataka kupimana ubavu na Rais Jakaya Kikwete. Ameeleza hadharani kuwa Rais Kikwete anahusika kwenye mkataba tata wa Richmond/Dowans; lakini pia, kuwa hafuati taratibu katika kuongoza chama chake. Lowassa ambaye alikuwa nguzo muhimu...
  14. N

    Kesi ya Richmond: JK, Mwakyembe, Lowasa............who is a winner?

    Wana Jamvi, Kuna kila dalilil CCM kupasuliwa na mjadala wa Richmond. JK ametuhumiwa, na akanyamaza. Bila shaka atakuja na suluhisho zimamoto kama kawaida, ama la kumfukuza kinyemela Lowasa kwa kutumia kamati ya maadili, au kumtia hatiani kwa kumfungulia kesi. Vyovyote vile, njia hii...
  15. Mikael Aweda

    Malipo ya downs/richmond, kati ya JK na Lowasa nani anatudai?

    Kwa kuwa Lowasa amekana mbele ya JK kuhusika kwake na Richmond/Downs, na huku akidai kuwa alitaka kuvunja mkataba huo lakini JK akamkatalia, na kwa kuwa JK mwenyewe ameshindwa kukanusha madai hayo ndani ya NEC. Kwa kuwa JK alidai kuwa hajui Richmond/Downs, na Kwa kuwa mtoa taarifa za ukweli Dr...
  16. KING COBRA

    Kama JK ni Rafiki Mkubwa wa Lowassa ni Nani anaweza kuwatenganisha sakata la Richmond????

    Lowassa alipata kusema yeye Mwenyewe kuwa Kikwete ni Rafiki yake Mkubwa na hawakukutana Barabarani sasa sisi tunajua kabla ya Lowassa kusema kuwa Suala la Richmondi Walikuwa pamoja!! Nani asiyehua kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa anampa maelekezo Lowassa ?? Hapa wote Hao Marafiki hawana...
  17. palalisote

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Lowassa amekana rasmi kuwa yeye hahusiki na mkataba wa Richmond! Nanukuu: Mwisho wa kunukuu Hii leo si sahihi hata yeye (Lowassa) kuhukumiwa kwa kuzingatia kile kinachodaiwa kuwa ni mtizamo wa umma dhidi yake unaompa sura ya ufisadi, jambo ambalo amedai kwamba siyo la kweli. Chanzo...
  18. palalisote

    Lowassa: Wakining'oa NEC nitaeleza ukweli kuhusu Richmond

    Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond. Chanzo: Tanzania...
  19. BAK

    Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa

    Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa Na Jacob Daffi - Imechapwa 02 November 2011 VIONGOZI waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharula wa Richmond bado wanaendelea kunganganiwa kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo, MwanaHALISI limeelezwa...
  20. Invisible

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Wakuu, Muda si mrefu tutaweza kwenda Live kutokea Monduli ambapo Mhe. Lowassa (Waziri Mkuu aliyejiuzulu) atakapoongea na vyombo vya habari. Tumefanikiwa kupenyeza mtu hivyo tutaweza kuwaletea alichoongea. Nita-update 1st post kulingana na atakavyokuwa anaongea. Shukrani * Soma updates hizi...
Back
Top Bottom