Wabunge wa Lowassa wamerudi CCM na kumpa majibu Dr Slaa kwamba mzee wao alikuwa ni Liability kwa CHADEMA!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,189
2,000
Poor you!

Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,

Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).

Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,804

Dr slaa ndie anayetaka majibu mkuu naona unazidiwa na maradhi kila kukichwa!
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,644
2,000
Poor you!

Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,

Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).

Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo
Jibu swali moja lowasa ni asset au liability?a
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,296

Nasikia Ole Milya amekirudia Chama Dume!
 
chemigera

Member
Feb 21, 2014
71
125
Write your reply...kwahiyo Dr slaa ni asset kwa mccm? .tunajua hapa chadema ndo inajengeka na kuwa imara sana...kwa sababu mashetan wote naona wanakimbia nuru na kwenda kuzimu(gizani) shetan go go go....mukaunga na shetan mkuu uko. ukiona mtu anaamua kuasi (kuacha kumtumikia mungu)unadhan huyo bado bnadam wa ukweli??????. nasema mayoda go go goo.......... chadema itadumu zaidi.
 
shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,544
2,000
NEC inayo majibu mazuri ya swali lako, na Dr mihogo anajua pia, unajua kwanini NEC hawataki wawakilishi wa upinzani katika talling center,.simply ni wezi, wakisaidiwa na tiss,jwtz na ndugu zeni wa damu police.
Jibu swali moja lowasa ni asset au liability?a
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,644
2,000
NEC inayo majibu mazuri ya swali lako, na Dr mihogo anajua pia, unajua kwanini NEC hawataki wawakilishi wa upinzani katika talling center,.simply ni wezi, wakisaidiwa na tiss,jwtz na ndugu zeni wa damu police.
Mimi na chadema lakini nalaani upuuzi amboa tuliufanya 2015 nauliza tena lowasa ni asset au liability?
 
ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
657
500
Lowassa si alisema anakuja Na wabunge sijui 50!! Kipindi kile walipohamia chadema mliwaona malaika Leo wanarudi CCm mnawaona mashetani !! Hahahaaaaa!! Shame on you!!Kwenu Barababa,viwanda,ndege,reli ya kisasa nk siyo vya msingi!! ??? Eti Uhuru ( kana kwamba mmetekwa ) haki ( sijui haki ya kufanya au kuongea matusi) ndiyo vya msingi huko chadema!!! Hahahaa!! Nyumbani kwako ( chadema hakuna Uhuru Na haki) maana ukiutaka uenyekiti sijui ukahoji matumizi ya ruzuku unatishiwa( according to Zitto ,wangwe,Waitara nk)!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom