Waliomtukana Lowassa 2015 ndio hao hao wanaomsimanga Magufuli leo, sijui CCM tunahitaji kiongozi wa namna gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Nimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi.

Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio wale wale waliokuwa wanamtukana Lowassa 2015 " baada " ya kuhamia CHADEMA.

Sijajua wanaccm hawa wanataka kiongozi wa namna gani?!!!

Ngachoka kabisa!

Maendeleo hayana vyama.
 
[color=#500ae]Wenye shida ni sisi raia, wanasiasa kwao hiyo ni michezo ya kawaida sana.[/color]
 
Wanaomtukana Maguguli siyo Watanzani ni kikundi cha Wahalifu, hata huyu Samia watamgeuka pia muda si mrefu, walimtukana Lowasa na kumpamba Magufuli kwa wakati huo Lowasa alikuwa adui na Magufuli kupita waliona ni ushindi kwao dhidi ya adui Lowasa nakumbuka mtoto wa Kikwete alirekodi clip akimshangilia Magufuli sasa Magufuli akawa adui na wanamtumia Samia dhidi ya adui, hivyo ni swala la muda tu Samia atageuka adui pia na akina Nape kuanza kumdhalilisha.
 
Nimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haachi...
Mnahitaji kiongozi kama bashiru anaejua uchungu wa wanaccm
 
Ndio nimewafuatilia hawa jamaa wanaomsimanga Magufuli na kugundua kuwa ndio wale wale waliokuwa wanamtukana Lowassa 2015 " baada " ya kuhamia Chadema.
fix, Msukuma ndiyo aliongoza genge la kumtukana Lowassa, ila sijamsikia akimbeza ama kumsimanga Mwendazake.
 
Nimekumbuka kauli ya Lusinde aka Kibajaji mbunge wa Mtera aliyoitoa bungeni kwamba wanaccm wanaomsengenya hayati Magufuli sasa watamsengenya hata mama baada ya kustaafu 2030 kwani aliyekula nyama ya mtu huwa haach...
Nchi haikuwai kuwa na kiongozi wa ovyo na katili,mwenye roho mbaya kama Mwendazake, bwana yule alikuwa na roho mbaya hadi imechangia kufupisha maisha yake Hata pharao alipowatesa sana wana wa israel Mungu akamuangamizia mbalii,

Mungu alishaona mbali kama angempa pumzi amalize awamu zote mbili,hakika angeangamiza hadi viumbe vingine visivyo na hatia, we vifaranga tu visivyo na hatia alitoa amri vitiwe moto.

Samia ni muungwana sana, na anajali watu wake, tumpe ushrikiano atafanya mengi mazuri,

Kelele za mwehu kama Poleeepole,ingekuwa enzi za yule kichaa wao,saizi kashapotezwa
 
Naona kula dalili sisi team Magufuli kuanzisha chama kuelekea uchaguzi 2025 na kuchukua nchi kiurainii
Hiko chama ndio wanasubiria kianzishwe ili waanze kupambana nacho! ACT wazalendo naona kipo kimya😅
 
Hiko chama ndio wanasubiria kianzishwe ili waanze kupambana nacho! ACT wazalendo naona kipo kimya😅
Amini nakuambia, Chama kitakacho nadi Sera za Magufuli kitachukua nchi asubuh kweupe. Hata km ccm wakiiba kura.
Magufuli alishajitengenezea wapiga kura wanaomkubali wengi sana.
Achana na hawa makasuku wa JF
 
Back
Top Bottom