Edward Lowassa aliwaonya CCM kuwa ukosefu wa ajira ni bomu la petrol linalosubiri kulipuka, leo hii wamachinga waliojiajiri wanafurushwa hovyo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?

Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?

Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.

Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika? Yanafaa kwa soko?

Kuhusu hawa vijana waliojiajiri kupitia umachinga wakipoteza ajira zao, je mtaweza kuwapa ajira mbadala?

Hivi hakuna namna ya kupata suluhu ya kudumu? Maana wanatafuta soko. Je, hakuna namna ya kuwahakikishia soko huko mnakowapeleka?
 
Acha kuchochea tatizo lililopo na badala yake toa ushauri wa namba Bora ya kupata suluhu. Na kumbuka hakuna nchi Duniani iliyoweza kuwaajiri wananchi wake wote!

Na Hawa unaowaona huruma wanaotakiwa kuwa na mbinu za kuhamasisha wateja wa bidhaa zao ili wawafuate watakapopangiwa. Pia wanaotakiwa kulipa Kodi Kwa serikali ndio maana wanapelekwa sehemu moja ili iwe rahisi kulipa Kodi.

Siku nyingine jifunze kuuonyesha upande unaoutetea Kama hapa umejidhihirisha kuwa team Ile iliyoharibu Kila kitu Kwa kulea uozo! Machinga lazima wapangwe ili walipe Kodi Kama wafanyabiashara wengine. Napongeza hatua hii ila wawaboreshee miundombinu.
 
Baada ya uchaguzi tutawaondoa tena ili kuwapa nafasi wenye maduka kufanya biashara ili tupate kodi. Business as usual tena na tena na tena na bado hawashtuki 😂😂😂.
Umemaliza vema kabisa, unatengeneza tatizo halafu unakuja na solution ya kihuruma baada ya katimiza azima yako.
Style hii aliasisi mzee wa Msoga. Jiwe hakuipenda kabisa
 
Acha kuchochea tatizo lililopo na badala yake toa ushauri wa namba Bora ya kupata suluhu. Na kumbuka hakuna nchi Duniani iliyoweza kuwaajiri wananchi wake wote!

Na Hawa unaowaona huruma wanaotakiwa kuwa na mbinu za kuhamasisha wateja wa bidhaa zao ili wawafuate watakapopangiwa. Pia wanaotakiwa kulipa Kodi Kwa serikali ndio maana wanapelekwa sehemu moja ili iwe rahisi kulipa Kodi.

Siku nyingine jifunze kuuonyesha upande unaoutetea Kama hapa umejidhihirisha kuwa team Ile iliyoharibu Kila kitu Kwa kulea uozo! Machinga lazima wapangwe ili walipe Kodi Kama wafanyabiashara wengine. Napongeza hatua hii ila wawaboreshee miundombinu.
Huko mnakowapanga kunafikika? Masoko yapo?
 
Unatumia kiungo gani kufikiri?

Hiv unapotaka kufungua biashara cha kwanza unaangalia nini?
 
Huyo lowassa muda wote aliokuwa kiongozi amesaidiaje vijana kupata ajira zaidi ya kujinufaisha binafsi yeye na familia yake.

Usiwaamini wanasiasa hata siku moja huwa wanaongea kile unachotaka usikie
 
Unatumia kiungo gani kufikiri?

Hiv unapotaka kufungua biashara cha kwanza unaangalia nini?
Mtu mweñye kufikiri sawasawa hawezi kuuliza swali la kiungo kinachotumika kufikiri. Swali lako la pili fungua Uzi wake tukupe darasa la vitu vya kuzingatia unavyotaka kufungwa biashara.
 
Huko mnakowapanga kunafikika? Masoko yapo?
Waulize ccm wenzako hayo maswali na ikikupendeza waulize ni kwanini wamekaa miaka 50+ madarakani lakini wameshindwa kupanga miji na taratibu za sekta binafsi zinavyotakiwa kuwa ili zitozwe Kodi? Kwanini wanaamka Leo?
 
Ccm inaogopa kuwapa maisha watz uelewa utaongezeka itakufa.Rejea maagano ya ccm na shetani mapangoni bagamoyo moja ya sharti ni umasikini,thus sokoine, Nyerere, magufuli waliwapambana na matajiri kuwashusha huku Ili wengi wawe masikini wawatawale.
 
Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?

Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?

Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.

Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika? Yanafaa kwa soko?

Kuhusu hawa vijana waliojiajiri kupitia umachinga wakipoteza ajira zao, je mtaweza kuwapa ajira mbadala?

Hivi hakuna namna ya kupata suluhu ya kudumu? Maana wanatafuta soko. Je, hakuna namna ya kuwahakikishia soko huko mnakowapeleka?
Wewe mleta mada huna unachojua zaidi ya kusukumwa na siasa za kipuuuzi tu!

Kwanza hujui hata nani hasa ni mmachinga!

Toka awali tunajua Mmachinga ni mtu anayeuza bidhaa huku amezibeba kuwatafuta wateja! Sasa hao wanaojenga vibanda barabarani na mbele ya maduka ya watu ni Wamachinga?!

Acheni upuuzi wenu! Hao ni wafanyabiashara wadogo na wengi wao hawalipi kodi na wameivuruga kabisa miji yetu!

Nenda pale Posta Dar es Salaam unakuta mtu anakaanga mihogo kwa kuni zenye moshi , Mwingine hapo Benjamin Tower alikuwa anakamua juice za miwa! Aibu sana!

Hawa watu wasidekezwe LAZIMA wapangwe kama hawataki wakatafute fursa zingine, Period!
 
Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?

Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?

Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.

Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika? Yanafaa kwa soko?

Kuhusu hawa vijana waliojiajiri kupitia umachinga wakipoteza ajira zao, je mtaweza kuwapa ajira mbadala?

Hivi hakuna namna ya kupata suluhu ya kudumu? Maana wanatafuta soko. Je, hakuna namna ya kuwahakikishia soko huko mnakowapeleka?
Alikuwa mbele ya muda
 
Back
Top Bottom