edward lowassa

Edward Lowassa
Edward Ngoyai Lowassa (26 August 1953 – 10 February 2024) was a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania[2] from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.[3] Lowassa went into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania.[4][5] Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.

After the ruling CCM failed to select him as its candidate for the October 2015 presidential election, he left the party and stood instead as an opposition candidate. He was defeated in the election by CCM candidate John Magufuli.
  1. Yericko Nyerere

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    Nikiwa kama mtanzania ninaetafakari juu ya hali ya siasa tz, ninasimama ktk ukweli kusema zaidi ya Richmond hakuna ruhwa yenye mashiko ya kumuhukumu roho ya paka Lowasa! Mwenye ushahidi wa ufisadi mwingine wa Lowasa auweke hapa! Kama si zaidi ya propaganda za wapinzani wake kisiasa! Soma Uzi...
  2. BAK

    Ex-Richmond power deal may be extended to 2012

    Ex-Richmond power deal may be extended to 2012 By Tom Mosoba THE CITIZEN The Dowans emergency power supply contract could be extended for another three years despite stiff opposition to the project, The Citizen can report. While the Government is under pressure from MPs and the general...
  3. M

    Richmond nyingine yaibuka Mwanza

    Richmond kubwa zaidi yaibukia Mwanza *Ni mkataba wa umeme wa Sh155 bilioni *Ulisainiwa na serikali Oktoba 2006 *Mitambo haijawahi zalisha umeme *Mwekezaji analipwa Sh9bn kila mwezi Na Waandishi Wetu MKATABA wa Sh155.2 bilioni wa Kampuni ya Marekani kwa ajili ya kuzalisha umeme wa dharura...
  4. K

    Richmond yaibukia Uganda

    Richmond yaibukia Uganda Waandishi Wetu Machi 5, 2008 Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Vyuo vikuu watoa tamko juu ya EPA, Richmond SAKATA ya kampuni hewa ya kufua umeme wa dharura, Richmond Development LLC, ya Marekani, limevuka mipaka na kujadiliwa...
  5. BAK

    Vyuo vikuu watoa tamko juu ya EPA, Richmond

    Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini Iringa vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini, wamefanya maandamano mjini hapa na kutaka bei ya umeme ishuke mara moja. Aidha wanafunzi hao pia wametaka waliochangia kupanda kwa huduma hiyo ya kijamii wafikishwe mahakamani haraka, wafungwe maisha au kunyongwa...
  6. Shukurani

    Mwanyika: Sihusiki na kashfa ya Richmond

    na Mwandishi Wetu | Tanzania daima MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, amesema hana tatizo licha ya kutakiwa kujiuzulu na Kamati Teule ya Bunge, iliyopewa kazi ya kuchunguza mchakato wa zabuni ya Kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond. Aidha, Mwanyika alishindwa kuweka...
  7. Mpaka Kieleweke

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Ni kuwa mjadala wa Richmond ndio unaanza japo mbunge wa Kigoma Mjini ndugu Peter Serukamba alimtaka spika kumpa ufafanuzi kwanza kuwa ni kwanini Waziri mkuu hakupewa nafasi ya kujitetea kwenye kamati husika. Waziri mkuu kaamua kujitoa kwenye meza na amekuwa mchangiaji wa kwanza kuchangia...
  8. Informer

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Mara baada ya kuahirishwa kikao cha Bunge jana jioni, Waziri Mkuu aliitisha kikao cha Mawaziri na Manaibu wao akidai ni kikao cha KIKAZI. Katika kikao hicho aliwaambia kwamba serikali ilikua na nia njema katika suala zima la Richmond na kwamba mawaziri wanaothubutu kushabikia ripoti ya Richmond...
  9. I

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni zina special working relationship na governments worldwide. This is because Power/Enegy sector is a...
Back
Top Bottom