east africa

  1. Kwanini Watangazaji wa 'Kipyenga Extra' East Africa Radio wameumia sana na 'Nyundo' aliyopewa Haji Manara?

    Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Watangazaji wa Kipyenga Extra East Africa Radio na wale wa Kipindi cha Michezo cha Usiku cha East Africa Radio nawaonyeni...
  2. Country Manager Job at Weir Minerals East Africa

    Manager: Country Weir Minerals East Africa Location: Mwanza, Tanzania Weir has been in business since 1871 and our sustainability and success has been built on attracting, retaining, and developing exceptional people. As a global company, we reflect the diversity of our customers in the...
  3. Financial hub ya East Africa iko wapi?

    Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na hali ya hewa katika miji waliyofikia. Huduma hizi zote huzalisha ajira, kuanzia tax, cafe, migahawa...
  4. D

    Mionekano ya Makamanda wetu wa Majeshi ya Nchi za Afrika Mashariki

  5. Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  6. Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  7. Mwinyi Jr anaweza kuweka rekodi ya kuwa Mmoja ya Marais wachache wenye akili kutawala Afrika Mashariki

    Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake. Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza Tanzania mbele tutafika mbali sana. Ingekuwa si Mzanzibar ningesema 2025 aje agombee huku lakini...
  8. K

    60 floor tower to be built in Upper Hill, Nairobi (new tallest building in East Africa)

    This may be the final design. Source Paul Oburu, Aspera’s Design Director was invited to provide a design proposal for a 60 storey plus tower on a plot in Upper hill, Nairobi. The client’s brief required an iconic and high-end, striking design that would be the tallest building in Nairobi. The...
  9. Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  10. Nigeria versus East Africa

    Okay you'll have seen that tweet from Nigeria about Zanzibar chiq who almost got raped. I was on her side until them Nigerians started tweeting nonsense about Swahili, Kenya and Tanzania!
  11. Kenya opens the only ice rink in East Africa

    Tourism and Wildlife secretary Najib Balala said the reopening of the rink will be a boost to ice-skating games, after Ice Lions, Kenya's only ice hockey team, hit global headlines two years ago. PHOTO | COURTESY Panari Nairobi has reopened its ice rink after two years, the only one in East...
  12. Rayvanny aendelea kuvunja records za mauzo: Awa msanii wa kwanza East Africa kuingia Golden Club

    Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa. Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay. Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo...
  13. Nani alikuwa mkali wa kuimba hapa?

    Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu? Celine Dion Whitney Houston ( Rip) Mariah Carey Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda. Love doesn't ask why A new day has come Tiririka hapa ni nani ulikuwa...
  14. History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community. H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State. === Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
  15. Kenya is the only country in East Africa with electricity access to over 75 percent of her population

    Kenya has connected approximately 8.6 million households to electricity as of December 2021, up from 7.3 million in January 2020, the energy regulator said on Thursday. Daniel Kiptoo, director general, Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) told journalists that Kenya is the only...
  16. BBC Swahili: Zuchu ndio msanii bora wa East Africa 2021!

    How do you find it guys!!? Mi binafsi nakubaliiii. Haappy New yearrr to u alll. Love U === Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza. Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva. Mwaka uliopita...
  17. Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

    Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani. Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
  18. Bustani ya Eden ipo Afrika Mashariki?

    Binadamu wa kwanza aliishi yapata miaka milioni tatu iliyopita, fuvu lake liligunduliwa huko oldvai George na mwana akiolojia Dr Leakey akiwa na mke wake Mary Leakey. Mwanzo Adam na Eva waliishi ktk bustani ya Eden, baada ya kula tunda wakafukuzwa wakaambiwa waishi nje ya bustani ya Eden...
  19. C

    Nimezima East Africa Radio, kuna jamaa anasema Manara ndiye aliyeifanya Simba SC kuwa kubwa

    Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni. Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa watangazaji inaanza lini jamani Kipindi kinaitwa kipenga xtra zengwe, kama walevi vile
  20. East Africa DJs & Mcs current events special thread✅

    a thread for all DJs and Mcs around East Africa to show their performance content and cross share ideas among us during this hard times.welcome all🙏🙏🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…