Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,192
Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno!
Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi.
====
Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao huku akiongeza kuwa wamebaini visa hivyo "vya kushangaza" baada ya kuwafanyia uchunguzi wa kimatibabu maafisa wote wa Polisi.
Hata hivyo, Inspekta Mutyambai amesema shughuli ya kuwaondoa kazini baadhi ya maafisa wa polisi walioathiriwa imeanza kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na polisi walio sawa kiakili huku akibainisha kuwa sio rahisi kwa sababu ya taratibu za kina zinazohusika.