east africa

  1. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda elections 2026, Bobi Wine ready and steady

    The revolutionary train finally sealed the day with a rally in Mubende despite the numerous barricades that we encountered along the way to our originally planned venue. We were yet again forced to take a last minute venue far away from Mubende municipality where we had originally planned to...
  2. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi wine in MUBENDE & KASSANDA districts for campaigns

    Thank you Kassanda and Mubende Districts. Just like yesterday in Mityana, there have been illegal attempts by the military and police to block us from attending our rally in Mubende this afternoon BUT WE RESISTED AND DEFEATED THEM! #ProtestVote2026 #AnewUgandaNow It was Massive 😍📌 Thanks...
  3. Vien

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa JR Junior East Africa radio kunaenda kumzima Rich msafi

    Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi, Rich msafi amebaki kama msindikizaji
  4. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Selcom Pesa: The East Africa Market Disruptor

    Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
  5. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Sifa za Ubunge East Africa, Tanzania ni shimoni Bado

    🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2. Awe na umri usiopungua miaka 21. 3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. 4...
  6. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania 🎉 LUBABA ATEULIWA TUZO ZA EAST AFRICA EXPO! 🌍🌱

    Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! 🏆🇹🇿 🙌 Mpigie kura kwa hatua hizi mbili: ✅...
  7. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kwanini matukio ya uhalifu yanaogeza nchi za Afrika Mashariki?

    Sasa mbona MAUAJI yanazidi sana NCHINI na EAST AFRICA KWA UJUMLA, Hawa majambazi wanazipata wapi ?hizi silaha, ? Wanazikodi kutoka kwa mapolisi/wanajeshi walarushwa ? Hebu shusha maoni yako .....
  8. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  10. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

    Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza freestyle 5. Ni trainer mzuri sana
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

    Najua wazee wa prokotoo, ibanie ndani, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo Kula kwanza hicho chuma https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila ukweli ni kuwa kwa miaka mingi WaTanzania tulionekana wadhaifu sana kwa majirani zetu wa East Africa, angalau kwa sasa tunakula nao sahani moja

    Tulionekana illterates, un-informed and less-modern. Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma. Sasa hivi tunawakimbiza kiasi...
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania East Africa redio mrudisheni shule huyu mtangazaji February Omary maana huu ni upuuzi

    Niko hapa nasikiliza Planet bongo ya East Africa radio ambayo inaruka kutoka Tumaini university. Huyu mtangazaji aitwaye February amefanya kitu cha ovyo kabisa leo, wakati anamhoji amemuuliza dogo mmoja jina dogo akamwambia mimi ni mhadzabe February akasena "wale wanaokula vitu vichafu...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwa story za kuchangamsha genge tunaikaribia Kenya lakini kiuhalisia tumepigwa kanzu, Tulichowazidi labda ni muziki na mpira

    Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Wasafi washinda Tuzo Saba usiku mmoja katika East Africa Magic Vibes Awards

    Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha LIVE NA G cha EAST AFRICA RADIO ni miongoni mwa vipindi bora vya Radio Tanzania

    Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
  19. Minderthinker

    JamiiForums Tanzania East Africa slave trade

    Anaejua vitabu vinavyo zungumzia biashara ya utumwa Africa Mashariki kipindi cha ukoloni .
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
Back
Top Bottom