Rayvanny aendelea kuvunja records za mauzo: Awa msanii wa kwanza East Africa kuingia Golden Club

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,518
7,367
Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa.

Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay.

Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya stream na kuingia Golden Club akiwa na kina WizKid na Davido.

Rayvanny aendelea kuprove kwamba unaweza kuuza muziki wako kwa mafanikio makubwa bila kufanya kiki za vijijini.

Namba hazidanganyi watu wengi umsikiliza wanaempenda.

20220331_104625.jpg
 
Hamna mtu humo ,dogo anazurura tu
Anapiga shows majukwaa ambayo msanii wako pendwa hatokaa aguse.

Ana tuzo ambayo msanii wako pendwa hatokaa aishike.

Anauza muziki wake kuliko wasanii wako pendwa ukiwajumlisha pamoja.

Kwa kifupi thamani yake ni kubwa kuliko wasanii wako pendwa combined.
 
Mazuzu wanamfananisha rayvany na konde boy sasa konde boy angekuwa wasafi huyo rayvan angemkamata kwa viewers atoke kwanza wasafi halafu ndio tumlinganishe na konde boy unadhani fitna anazofanyiwa konde boy rayvan anaziweza.
 
Kwa ile ep yake ya new Chui ilivyofulia Huko boomplay

Nazidi kuona namna Promo uchwara zilivyo nyingi.
 
Namba hazidanganyi, mmakonde anakimbizwa tangu akiwa wasafi.

Hajawai pata tuzo uyo mmakonde ata akiwa wasafi. Relax uone watu wenye talents wakifanya muziki.
 
Kwa ile ep yake ya new Chui ilivyofulia Huko boomplay

Nazidi kuona namna Promo uchwara zilivyo nyingi.
Hiyo sio promo hizo ni namba yani zinamaanisha msanii ambaye muziki wake una demand kubwa east africa ni Ray. Sasa ukitaka kubisha uje na namba zako chuki zako hazibadilishi chochote jamaa ndio kwanza anapanda kwenye stages kubwa duniani na bado yupo sana kwenye management inayojielewa Africa yani WCB.
 
KUNA WATU SIO WA KUBISHANA NAO, WANAWEZA KUBISHANA HATA NA TAKWIMU ZINAZOONEKANA WAZI KABISA.
 
Hamna mtu humo ,dogo anazurura tu
Acha wivu hiyo mi true kabisa, halafu rayvan kama hujui ni msanii mwenye bahati sana coz hata tuzo anachukua zile ambazo mondi anazitamani lakin hapati na vanny hapendi mikiki hiyo
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Acha wivu hiyo mi true kabisa, halafu rayvan kama hujui ni msanii mwenye bahati sana coz hata tuzo anachukua zile ambazo mondi anazitamani lakin hapati na vanny hapendi mikiki hiyo
Tuzo gan kabeba ? BET ya mchongo
 
Back
Top Bottom