Bustani ya Eden ipo Afrika Mashariki?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,624
9,167
Binadamu wa kwanza aliishi yapata miaka milioni tatu iliyopita, fuvu lake liligunduliwa huko oldvai George na mwana akiolojia Dr Leakey akiwa na mke wake Mary Leakey.

Mwanzo Adam na Eva waliishi ktk bustani ya Eden, baada ya kula tunda wakafukuzwa wakaambiwa waishi nje ya bustani ya Eden.

Lakini pia kwenye biblia wametaja kuwa kulikuwa na wanyama wakubwa dinosour, juzi huko mtwara mabaki ya mifupa ya dinosour yenye uzito wa tani tatu yaligunduliwa huko. Pia mifupa kama hiyo imewahi kugunduliwa na wanasayansi huko Rukwa

Kwa mantiki hiyo ni wazi kuwa bustani ya Eden ipo umbali mfupi kutoka mahali ambapo fuvu la binadamu wa kwanza na mifupa ya dinosour ilipogunduliwa,

Je, bustani ya Eden ipo East Africa?
 
Binadamu wa kwanza aliishi yapata miaka milioni tatu iliyopita, fuvu lake liligunduliwa huko oldvai George na mwana akiolojia Dr Leakey akiwa na mke wake Mary Leakey,

Mwanzo Adam na Eva waliishi ktk bustani ya Eden, baada ya kula tunda wakafukuzwa wakaambiwa waishi nje ya bustani ya Eden,

Lakini pia kwenye biblia wametaja kuwa kulikuwa na wanyama wakubwa dinosour, juzi huko mtwara mabaki ya mifupa ya dinosour yenye uzito wa tani tatu yaligunduliwa huko. Pia mifupa kama hiyo imewahi kugunduliwa na wanasayansi huko Rukwa

Kwa mantiki hiyo ni wazi kuwa bustani ya Eden ipo umbali mfupi kutoka mahali ambapo fuvu la binadamu wa kwanza na mifupa ya dinosour ilipogunduliwa,

Je bustani ya Eden ipo East Africa?
Hiyo habaribya fuvu ilishapitwa na wakati kuna viungo vingine vingi kwenye nchi mbalimbali vimegunduliwa na ma archeologists vyenye umri mkubwa zaidi
 
usinuchanganye madensa hapa kuna theory mbili hii ya ngedere sijui funza na hii ya akina adam
 
Mabaki ya mifupa ya Dinosar yamegunduliwa nchi nyingi, australia ni miongoni mwa nchi ambazo zimegundulika kua na mabaki hayo

Ishu ya eden kiukweli ni paradox sana, nakumbuka kuna record ya mtu kuweka dau kwa atakayeweza kuonesha ushahidi unao thibitisha bustani hiyo ilikuwepo lakini ilishindikana
 
Kuna Waghana wanaiheshimu Olduvai George na ni sehemu yao ya kuabudu kama safari ya hija.
 
Back
Top Bottom