Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,834
- 21,076
Mimi pia nimepata habari lakini siielewielewi. Ngoja tusubiri wenye taarifa. Usiondoke.Kwa kweli sijui. Nisiwe muongo katika hili.
Siondoki, nasubiria wajuvi waje.Mimi pia nimepata habari lakini siielewielewi. Ngoja tusubiri wenye taarifa. Usiondoke.
Itakuwa katumwa abduliHAPO Tanzania Raisi wake yupo wapi? masuala nyeti ya taifa kwa kiwango hiki mama mbona simuoni!, ila angekuwa ni Rostam, nina hakiki asingekosekana.
wanaweza kuleta shida kwenye kulipitisha hilo si unajua tena wapo serikalini na wanaelewa wakikubali mnyororo unakatwa.. huyu dangote hata kule nchini kwake huwa wanamletea figisu unafikiri itashindikana hapa ugenini... wacha tuone nchi ya shamba la bibi kama atatokea kiongozi jasiri kusukuma hii kete.Hapo watakuwa wamecheza kama Pele, mafuta yatoke Hoima Uganda kisha wajenge refinery Tanga tusihangaike kununua mafuta kwa madalali wanaosababisha bei ya mafuta ipande hovyo.
wanaona shida ni kwamba hawataki kuziba minyororo ya ulaji..Hiyo iko vizuri kinachoumiza hilo ni wazo la Luto
Tanzania ilitakiwa iwe mstari wa mbele kuongea na Dangote kuhusu huo uwekezaji
Ina maana viongozi wenu hawaoni fursa?
Kuzaliwa Tanzania ni laana
Kuna ujinga sana hapo Tanzaniawanaona shida ni kwamba hawataki kuziba minyororo ya ulaji..
Si ajabu rais wetu teyar amepenyezewa habari wanaziitaga intelligentsia kuwa asiende kabisa wana nia ovu kabisa ...
Na TZ itafaidika pia tena zaidi manake na ajira zitaongezekaKuna ujinga sana hapo Tanzania
Baada ya kuona mpango wa bomba umeshindikana kupitia Kenya
Luto akasema hapana acha tuje na wazo wa refinery ili nao wafaidike na mafuta ya Uganda
Tanzania imezidiwa na Kenya maarifa ya diplomasia ya uchumi
Tanzania itabaki kuwa na leverage ya ardhi tu
Ikumbukwe Kenya haipo kwenye mpango wa EACOP na wala haina hisa kwenye mradi huo
Hii ni baada ya Uganda kukataa bomba lisipitie Lamu bali bandari ya Tanga
Ila Kenya itakuja kufaidika na refinery kama ikijengwa
Sio roho mbaya sema hicho la fursa na vijana wanao jua kuchangamkia fursa wakati kule kwingine majinga yapo yanapiga makofi na kuteka vijana wasio na hatiaWamepiga gumzo tu Kampuni za Refinery ni vigumu kujenga kiwanda kwenye pwani za Kenya✍️
kama watajenga lazima ijengwe Tanzania uko mbele ya Safari.
Pwani za Kenya ni chache na sio Salama.
Uganda uwezi kujenga Sababu awana bahari🚫
Wakija tu wapembuzi wataitaji Tanzania Mu7 anajua icho kitu
pengine rohoo mbaya ya Ruto kuitenga Tanzania!!
lkn sisi atukwepeki kwenye jambo kubwa la kanda hii.
Tuna bahari kubwaa sana.
Kenya bahari yake ndogo na pamoja na udogo wake bado kuna Mgogoro wa iyo iyo bahari na Somalia,
Somalia wanasema iyo bahari ni yao Kisheria za kimataifa ivyo kuna kesi Mahakamani za Kimataifa kati yao✍️
Watanufaikaje nje na ukaribu wa kupatikana kwa mafuta? Au watakuwa wanapewa 10% ya udalali?Kuna ujinga sana hapo Tanzania
Baada ya kuona mpango wa bomba umeshindikana kupitia Kenya
Luto akasema hapana acha tuje na wazo wa refinery ili nao wafaidike na mafuta ya Uganda
Tanzania imezidiwa na Kenya maarifa ya diplomasia ya uchumi
Tanzania itabaki kuwa na leverage ya ardhi tu
Ikumbukwe Kenya haipo kwenye mpango wa EACOP na wala haina hisa kwenye mradi huo
Hii ni baada ya Uganda kukataa bomba lisipitie Lamu bali bandari ya Tanga
Ila Kenya itakuja kufaidika na refinery kama ikijengwa
Uganda wanajenga refinery ambayo inaenda kuhudumia Soko la East Africa.Wamepiga gumzo tu Kampuni za Refinery ni vigumu kujenga kiwanda kwenye pwani za Kenya✍️
kama watajenga lazima ijengwe Tanzania uko mbele ya Safari.
Pwani za Kenya ni chache na sio Salama.
Uganda uwezi kujenga Sababu awana bahari🚫
Wakija tu wapembuzi wataitaji Tanzania Mu7 anajua icho kitu
pengine rohoo mbaya ya Ruto kuitenga Tanzania!!
lkn sisi atukwepeki kwenye jambo kubwa la kanda hii.
Tuna bahari kubwaa sana.
Kenya bahari yake ndogo na pamoja na udogo wake bado kuna Mgogoro wa iyo iyo bahari na Somalia,
Somalia wanasema iyo bahari ni yao Kisheria za kimataifa ivyo kuna kesi Mahakamani za Kimataifa kati yao✍️
Hakika sisi tumelaaniwa.Hiyo iko vizuri kinachoumiza hilo ni wazo la Luto
Tanzania ilitakiwa iwe mstari wa mbele kuongea na Dangote kuhusu huo uwekezaji
Ina maana viongozi wenu hawaoni fursa?
Kuzaliwa Tanzania ni laana