duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wasanii waipa shavu ‘konyagi’ kuthamini jitihada za wanawake katika kusherehekea ‘siku ya wanawake duniani’ 2021

    Na Mwandishi wetu, Katika kuadhimisha kusherehekea siku ya Wanawake Duniani 2021, wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wamekipongeza kinywaji cha Konyagi kwa kuwapa fursa ya kuthamini ujasiri, ushupavu na uthubutu wa wanawake ambao wamejitoa katika mafanikio ya kazi zao za...
  2. ragin

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani jinsi ilivyokuwa ya kushangaza

    Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani. Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu. Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na...
  3. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Siku muhimu

    Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

    Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia. Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza hadharani kudai sisi...
  5. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Ujumbe katika siku hii ya wanawake duniani

    Mwanamke ni sehemu muhimu ya jamii, awe ni mama, dada, binti, rafiki wa kike, nk Siku ya Wanawake Duniani 2021 ina kampeni iliyo na kaulimbiu "SelectToChallenge". Siku ya Wanawake Duniani ni siku ya kimataifa kuadhimisha mafanikio ya wanawake kijamii, kiuchumi, kitamaduni na kisiasa. Hii ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021 UCSAF yatoa msaada katika kituo cha Watoto yatima

    KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA Na: Celina Mwakabwale Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nchi zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo ya Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona mfano Saudi Arabia, Imetangaza wazi kabisa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa njaa ndio janga kubwa Duniani kuliko ugonjwa wowote ule?

    Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani. Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani. Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki. Je...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Okonjo-Iweala aanza kazi rasmi kama Mkuu wa Shirika la Biashara duniani

    Dkt Okonjo -Iwela ambaye ni waziri wa zamani wa fedha na mambo ya nje wa Nigeria, ni mwanamke wa kwanza wa Afrika kuongoza WTO. Ngozi Okonjo-Iweala amesema kipaumbele chake ni kushughulikia masuala ya afya na athari za kiuchumi zinazotokana na majanga. Kuna wasiwasi huko Washington na miji...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanaume bora duniani, Happy Husbands Day

    Today is World happy husband Day. Let us maintain 2 minutes silence and appreciate some real life experiences quotes of some great personalities: After marriage, husband and wife become two sides of a coin, they just can’t face each other, but still they stay together. – Al Gore 😁 By all means...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, Dar es Salaam inapokuwa Mkoa, hatutapoteza faida za majiji Duniani?

    Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au Halmashauri kuwa Jiji. Issue ya eneo fulani kuwa jiji ni jambo la ndani ya nchi au kuna standard za kimataifa? Kwa kuwa Dar itakuwa Mkoa, je sifa, hadhi yanazopewa majiji Duniani na ambazo baadhi ya sifa huambatana na...
  12. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Uchina waonesha ubabe duniani

    Uchina nitaifa linalokuja kwa kasi duniani, nanaona linahitaji kutambulika kuwa ni taifa lenye uwezo kama yalivyo mataifa makubwa kama marekani, uingereza na urusi. Kwa namna China inavyoenenda juu ya covid-19 nanamna who inavyoiandama China juu ya kujua chanzo cha corona na mwisho who wanakuja...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kama ombi la Profesa Kabudi litakubaliwa huko UNESCO basi tarehe 07 Julai kila mwaka itakuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani. Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO: Maambukizi ya Corona yapungua kwa asilimia 17 Duniani kote

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilitangaza kuwa kumekuwa na upunguaji wa kesi za maambukizi ya corona (Covid-19) kwa asilimia 17 katika wiki iliyopita ndani ya maeneo 6 tofauti kote ulimwenguni. Kulingana na takwimu zilizochapishwa na WHO, idadi ya kesi za maambukizi imekuwa ikipungua kwa...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Simu za rununu huongeza hatari ya kupata Saratani hasa kwa Watoto na Vijana Duniani

    Imeripotiwa kuwa mawimbi ya umeme yanaweza kuongeza hatari ya saratani, haswa kwa watoto na vijana. Kila mwaka, zaidi ya watoto 400,000 na vijana chini ya umri wa miaka 20 hugunduliwa na saratani ulimwenguni. Kiwango cha kuishi kwa watoto walio na saratani kinashuka kutoka karibu asilimia 80...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

    Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania UNICEF ikishirikiana na serikali za nchi jirani husika inasambaza chanjo za COVID duniani

    Across the world grandparents, parents, healthworkers, and other frontline workers are sharing what receiving the COVID-19 vaccine ✌.
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Yajue maeneo matano duniani ambapo ndege haziruhusiwi kuruka juu yake

    1. Antarctica: Antarctica inajulikana sana kwa hali yake ya baridi kali sana ambapo barafu na theluji hulifunika eneo hili kwa mwaka mzima. Eneo hili lina nguvu kubwa sana ya usumaku ambapo huweza kuathiri mifumo ya ndege na hivyo kuisababishia hatari ya kuanguka. 2. The Bermuda Triangle...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

    Gazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
Back
Top Bottom