duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    - Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_largest_political_parties - CCM inapoendelea na sera zake...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

    Patent WO / 2020/060606 imetengenezwa na Microsoft Technology Licensing LLC ……… Microsoft ni ya bill gate, au sio? WO = World Order (yaani New World Order) 2020 = ni patent iliyosajiliwa mwaka jana WIPO (World Intellectual Property Organisation) 060606 = namba ya patent (666??? - tafakari)...
  3. JamiiForums Tanzania Ushirikina unaongezeka kwa kasi kubwa duniani

    Changamoto za maisha zinazidi kuikumba dunia. Kisiki cha ajira ni mfupa uliowashinda hata mataifa yaliyoendelea sana kiuchumi Shortcut nyingi za madawa, silaha, vikundi vya kigaidi na umafia wa namna zote vimedhibitiwa kwa kiwango kikubwa. Ni kama sasa dili zile kubwa kubwa zimetoweka na hata...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumbamiza Mnamibia, Mwakinyo apanda chati za ubora duniani hadi namba 13

    Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda rank na kuwa nafasi ya 13 katika Ubora wa Mabondia duniani katika uzito wake wa super welterweight. Mwakinyo amepanda kutoka nafasi ya 24 aliyokuwa awali kabla ya kumpiga Bondia Julius Indongo wa Namibia kwa TKO round ya nne kwenye pambano la round 12...
  5. JamiiForums Tanzania Taliban yatawanyisha maandamano ya Wanawake kudai haki

    Maafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa kwenye Serikali. Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalifumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais. Huu ni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  7. JamiiForums Tanzania sifa 10 za kipekee zinazoitambulisha Arusha Duniani kote

    A-Town/ R-Chuga/ Geneva of Africa yote ni majina ya utani kuwakilisha Jiji la Arusha. Jiji hili la tatu kwa maendeleo Tanzania utalii na usafi ni baadhi ya sifa zake za kuvutia. Wenyeji wa Arusha ni Wamaasai, Waarusha, Wairaqw, Wameru, n.k Hizi ni sifa 10 za kipekee zinazoitambulisha Arusha...
  8. JamiiForums Tanzania Kila Mtu Duniani ana Miti 400

    KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400 Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap? Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04 Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400 Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike Tanzania iwe miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani?

    Tanzania ni nchi katika dunia au Bara lá afrika ambayo ina kila rasilimali zinazohitajika katika maendeleo mfano madini,Ardhi nzuri, watu wachapakazi na vivutio vingi vya utalii Pamoja na hayo bado nchi ya Tanzania umaskini ni jambo lililokithiri sana hususa ni kwa vijana jambo linalopelekea...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Beijing kuvutia tena macho ya watu duniani kutokana na Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti kwa mara nyingine tena, baada ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, mji wa Beijing umevutia...
  11. JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani, Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd, Pili ni rais pekee Afrika anaeongoza kwakusafiri...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi ngapi duniani wananchi wake wanapinga chanjo ya Corona?

    Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbali mbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19. Wapo wanao pinga chanjo, na wapo wanaotaka chanjo na tayari wengine wameshachanja.Ok fine, Sasa Nimekuwa nikijiuliza, kwa kukuwa suala hili la chanjo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ugaidi duniani haipaswi kutolewa na nchi za magharibi tu

    Tarehe 21 Agosti ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kukumbuka wahanga wa ugaidi. Umoja wa Mataifa uliichagua siku hii kwa makusudi, kutokana na changamoto ya ugaidi kuwa kubwa na kuathiri watu wengi duniani. Mwezi Aprili mwaka huu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Gutiérrez...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Domestic workers ni ajira inayohitajika sana Oman, kuna umuhimu wa kuiboresha

    Wasaidizi wa ndani wanahitajika duniani kote. Nchi za Magharibi zimeboresha mikataba na maslahi ya wafanya kazi wa ndani, matokeo yake ni wachache wenye uwezo wa kuajiri wafanya kazi hao. Hao wachache wanaopata ajira wana mikataba ya kazi, likizo kila mwaka, malipo wakiwa wagonjwa, kiinua mgongo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

    Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
  16. JamiiForums Tanzania Quora mtandao pendwa duniani

    Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani. Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
  17. JamiiForums Tanzania Je unaweza kuhisi una siku ngapi zimebakia za kuishi hapa duniani???

    Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia.. Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo?? Je umejiandaaje.? Je kabla hujaiaga dunia ungependa ukamilishe jambo gani.? Je kabla hujaondoka ungependa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mada yenye ukakasi: Majini yanayoishi nasi hapa duniani yenye umbo la kibinadamu (Demons/fallen angels in human form)

    Hi guys Hapa duniani si kila binadamu unaemuona ni binadamu kweli, haya mambo nimeyafahamu baada ya mm kufanya research yangu mtandaoni, kwa kusoma shuhuda za walokole kama kina rachel mushala wa facebook, waliomtumikia shetani na baadae kuokoka, pamoja na kuchanganya akili zangu. Majini huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

    Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji yao ya kuwa Maarufu Kitaifa na Kimataifa. Yaani Mtu Mmoja kafanya Upuuzi wake tokea Mwezi Septemba...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi binti alivyoweza kuwatoa wazazi wake kwenye umasikini

    Haya ni maneno aliyoyatamka Linda, binti wa pekee kwa wazazi wake. Baba yake alikua mlinzi wa majengo ya serikali kwa miaka mingi. Mama yake alikua mama wa nyumbani aliyejishughulisha na biashara ya vitafunio vya asubuhi kama chapati, maandazi, sambusa na vitumbua. Linda na wazazi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…