duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeamini katika dunia hii hakuna Mwanamke mbaya

    Mwaka juzi kuna mwanamke ambaye tulikutana naye kwenye sherehe, Mwanamke huyo aliniomba namba zangu za simu nilimpa. Tukawa tuna chat naye kawaida tu. Siku moja tu akaniambia ananipenda. Nikamuambia nitamjibu. Muda ambao nilikaa kimya bila kuongea naye nilikuwa na fikiria na kujaribu kumpa...
  2. Sehemu zinazolindwa zaidi Duniani

    ZIFAHAMU SEHEMU SABA HATARI ZAIDI DUNIANI KATIKA MAISHA YAKO. Kwa fikra za kawaida tunadhani ya kwamba sehemu zinalindwa zaidi duniani ni Benki,Ikulu,kambi za jeshi na Bungeni labda kwa sababu ya kuwepo viongozi wakubwa wa taifa au hela zinazopatikana Benki hizo. Leo nakuletea sehemu saba...
  3. L

    Baada ya miaka 95, jeshi la PLA limekuwa mkombozi mkubwa duniani

    Kila ifikapo Agosti Mosi, China huwa inafanya sherehe kubwa ya kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwa Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China (PLA), ambapo mwaka huu wa 2022 inatimia miaka 95. Katika miaka yote 95 tangu Jeshi la PLA lianzishwe na kuongozwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)...
  4. Mwaka 2021 Watu Milioni 1.5 waliambukizwa VVU Barani Afrika

    Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI barani Afrika Kulingana na Ripoti ya In Danger ya Shirika...
  5. Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake. Taarifa: BBC Swahili Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
  6. B

    SoC02 Nafasi ya elimu ya Tanzania katika kuzalisha wataalamu wa Kiswahili duniani

    Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 na 150 ,lugha ya kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya kule...
  7. Sikubaliani kabisa na hii Teua Teua ya Balozi kwa kila Mtu, kwani inatuaibisha na inadhalilisha pia Hadhi ya Neno Balozi kwa wenye Akili duniani

    Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa. Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi...
  8. Daz Baba haki yako iliyodhulumiwa na Bongo Records italipwa hapa hapa duniani

    Msanii wa Bongo Records aitwae Daz Baba ambae alitoa nyimbo kali kama Nipe tano, umbo namba 8, wife nk. Alituletea album classic ya Elimu Dunia kinachosikitisha ni kwamba hajawai kufaidika na mauzo ya album yake hela za mauzo anachukua P Funk Majani ambae alitengeneza mikataba ya ujanja ujanja...
  9. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
  10. L

    China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  11. Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

    Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana. Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
  12. Bendera ya Tanzania Duniani

    Elewa kuwa Tanzania ni kati ya nchi kumi tu tu duniani ambazo bendera zake zina diagonal strip. Ukiacha Brunei utashangaa kuwa nchi zote zenye bendera diagonals, ni za uchumi wa hali ya chini sana; ingawa Tanzania na Namibia tunaweza kujitutumua kwenye kundi hilo, lakini nyingine zote ni za...
  13. A

    Ujumbe wangu kwa vijana wasio na kazi ambao wanashinda tu mtaani na hawajui wafanye nini humu duniani

    (1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani. (2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda...
  14. L

    Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
  15. PICHA HIGH QUALITY: Matukio mbalimbali ya Julius Kambarage Nyerere

    Nyerere akiwa ziarani Netherlands in 1985 Nyerere akiwa na Onno Ruding, Waziri wa Fedha wa Uholanzi, 1985 Nyerere akiwa na Rais wa Marekani Jimmy Carter na Mke wa Rais Rosalynn Carter katika Ikulu ya White House, 1977 Nyerere akiwa ziarani Uholanzi mwaka 1965
  16. P

    Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  17. L

    China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

    China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia. Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na...
  18. Julai 11: Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu (World Population Day)

    Idadi ya watu duniani ilifikia Bilioni 7 mwaka 2011, na kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) Idadi hiyo itafikia Bilioni 8 Mwaka 2022. Tangu katikati ya karne ya 20 kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu duniani, ikielezwa watu waliongezeka mara tatu zaidi kati ya 1950 na 2020. Hata hivyo...
  19. M

    Mimi nilijua Marais duniani wakizungukwa na 'Mabodigadi' hawawezi Kuuliwa, kumbe Watu wakikutaka 'Wanakushinzo Abe' muda Wowote ule

    Marais tuliopo tujitahidi Kuongoza kwa Haki ili nasi Wananchi Wetu wasije 'Kutushinzo Abe' tukiwa tunaigiza Sinema na akina Rambo na Van Dame au tunalima Karafuu au tunakula Samaki za Feri Magogoni au tunakunywa Mvinyo wa Wagogo. Kulindwa na 'Makomandoo' siyo Kigezo kuwa 'Makomandoo' wengine wa...
  20. Kesi za watu maarufu duniani na hukumu zake

    Visa na mikasa ya kesi maarufu duniani na hukumu zake Visa na Vikasa ya Kesi Maarufu Duniani na Hukumu Zake ni mwanzo wa vitabu nitakavyokuwa nikivitoa kwa awamu ambapo vitabu hivyo vitakuwa na mkusanyiko wa kesi mbalimbali zilizowahi kutokea katika nchi mbalimbali duniani na kuvuta hisia za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…