Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk
Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
Siku ya #Redio Duniani ilianzishwa na Kikao cha Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa kuhusisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Redio uliorushwa moja kwa moja kutoka Geneva mwaka 1974.
Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika maisha na jamii...
Wengine tumechekwa leo ila nasi tutawacheka zaidi Kesho huko waliko na ikitokea hivyo kweli Watuvumilie tu na Wawe Wapole hasa kwani kuna tofauti Kubwa kati ya Namba Moja na Namba Sita au Saba.
Salaam JF,
Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi.
Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo.
Wengine...
Ukiwa masikini duniani unapigika na maisha, ni Bora uwe masikini lakini utende mema na kusali sana. Usipoangalia Duniani utapigika na ukifa unapigika tena
Tenda wema na swali sana kabla hujaswaliwa
Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku.
Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.
Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
Habari zenu wakuuu.
Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat".
Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021.
Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
Februari 4 ya kila mwaka huwa ni maadhimisho ya siku ya Saratani duniani.
Takwimu za Afrika
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), bara la Afrika hupatwa na visa vipya vinavyokadiriwa kufikia milioni 1.1 kila mwaka na idadi ya vifo ikiwa ni 700,000. Takwimu hizi zinatoa makadirio ya vifo...
Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022.
NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia.
Misri inaongoza kwa Ligi bora...
SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI
Anaandika, Robert Heriel
Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana.
Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
Wanawali 60. Wakali kwa types nitakazo mimi. Tena wote nawakuta bikra...so naanza nao mwenyewe.
Ndo maana nikiwaangalia wanawake siku hizi wanasema nmekuwa na kiburi na dharau. Ni kweli sikatai. Nimepata kuburi baada ya kugundua nahangaika na hawa wa duniani wakati Akhera wapo watoto chuchu...
Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022.
Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
Habarin guys,
Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wana muda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila Mungu hana huo muda kabisa.
Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata...
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema.
Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea.
Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.