duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sitaki hangaika na wanawake wa huku Duniani. Wale wa kule ni Wazuri na wote naanza nao mwenyewe

    Wanawali 60. Wakali kwa types nitakazo mimi. Tena wote nawakuta bikra...so naanza nao mwenyewe. Ndo maana nikiwaangalia wanawake siku hizi wanasema nmekuwa na kiburi na dharau. Ni kweli sikatai. Nimepata kuburi baada ya kugundua nahangaika na hawa wa duniani wakati Akhera wapo watoto chuchu...
  2. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi Duniani

    Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022. Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
  3. Muccigang

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hana ratiba ya kuja kuongea na binadamu hapa duniani?

    Habarin guys, Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wana muda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila Mungu hana huo muda kabisa. Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi. Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China latoa “Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya” kwa watu wa China kote duniani

    Saa 2 usiku wa tarehe 21 Januari, likiambatanishwa na wimbo unaoimbwa na watoto, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo limeandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG limerushwa hewani, na kutoa "Chakula cha jioni cha Kitamaduni cha Mwaka Mpya" kwa watu wa China kote...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Google kupunguza wafanyakazi 12,000 duniani kote, mdororo wa Uchumi watajwa

    Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Utumikishwaji haupaswi kuendelea kuvumiliwa popote duniani

    Utumikishwaji ni suala zito ambalo linaathiri nchi zilioendelea na zinazoendelea. Katika nchi zilizoendele utumikishwaji hutokea katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kilimo na ujenzi. Ajira za lazima ni tatizo la kawaida katika nchi zinazoendelea, huku wanawake, watoto, na wazee...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 5 zilizo juu katika fani ya uhandisi duniani

    Hii hapa ni orodha ya mataifa 5 zenye kutamba katika fani ya uhandisi duniani. Ebu iangalie vizuri uone nchi yako ni ya ngapi katika orodha hiyo. === 5 Countries That Produce the Best Engineers in the World In this article, we discuss the 5 countries that produce the best engineers in the...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anazidi kuifungua nchi kimataifa. Tanzania kunufaiki na fursa za kongamano la Uchumi duniani

    Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa. Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kujieleza Unaendelea Kushambuliwa Katika Maeneo Mengi Duniani

    Jinsi tunavyoiona dunia na kuitendea inategemea sana taarifa tulizo nazo. Hii ndiyo sababu uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari ni haki za kimsingi, na mtiririko huru wa mawazo ni kichocheo kikuu cha maendeleo jamii na ustawi wa binadamu. Hata hivyo, uhuru wa mawazo na...
  13. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

    Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki? 1: Mzungu katuletea dini 2: Mzungu katuletea mavazi 3: Mzungu katuletea utandawazi 4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano 5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano 6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
  14. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

    "Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)
  15. McCollum

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku ambayo Bongofleva itatengewa category yake binafsi kwenye platform za mziki duniani?

    Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot 100/200? Afrobeats ya west Afrika imefanikiwa kupenya,je, vipi kuhusu Bongofleva?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 37% ya Nchi duniani hazina Uhuru Mtandaoni. Hali mbaya zaidi yaripotiwa China

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28. Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru. Kwa Mwaka wa Nane...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Afrika ina Asilimia 3 tu ya magari yote duniani

    Jioni hii BBC Dira wamesema Afrika ina asilimia 3 ya magari yote duniani. Ikabidi nichimbe nikakutana na hii. Kufikia mwisho wa robo ya kwanza ya 2022, kulikuwa na takriban magari bilioni 1.45 ulimwenguni, ambayo karibu bilioni 1.1 ni magari ya abiria. Hiyo ina maana kwamba kuna gari kwa kila...
  18. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wadada wazuri Duniani

    Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ni Maadhimisho ya Siku ya Braille Duniani: Nguvu ya Maarifa!

    Mapitio Zawadi ya thamani zaidi kutoka kwa Mungu ni uwezo wa kuona ulimwengu huu wa kupendeza na wa kupendeza! Kwa kusikitisha, sio kila mtu ulimwenguni anayeweza kuiona. Hata hivyo, katika 1829, Louis Braille alitoa zawadi kubwa kwa jamii yake ya vipofu kwa kuvumbua nukta nundu. Kila mwaka...
Back
Top Bottom